namna ya kukokotoa andiko la biashara

Namna ya Kukokotoa Bei/Gharama za Kuandika Andiko la Mradi

Ninafanya na kufundisha namna rahisi ya kuandika andiko la mradi kuanzia zile za miradi midogo  mpaka mpaka miradi mikubwa

Andiko la mradi

Gharama ni asilimia 3 ya bajeti

Viwango ni katika Shilingi ya Kitanzania Kutoka Kwenda Ushauri Asilimia ya Ada Mfano wa Ada
Miradi midogo midogo            1,000,000          10,000,000             50,000 5.0% Kwa mil 1

100,000.00

Miradi midogo          10,000,000          50,000,000           150,000 3.0% Kwa mil 10

450,000.0

Miradi wa kati          50,000,000        500,000,000           500,000 2.0% Kwa mil 50

1,500,000.0

Miradi mikubwa        500,000,000    2,000,000,000       1,500,000 1.0% Kwa mil 500

6,500,000.0

  • Kikokotozi hiki ni kwa ajili ya mradi mmoja tu, kama mradi utahusika na mambo mengi kila jambo ni sawa na mradi mmoja
  • Mfano mradi wa malaria kama itahusika pia na miradi ya uchumi basi itakuwa ni miradi miwili
  • Mradi wa kusambaza maji ambao ni lazima uhusike na uelimishwaji, usafi wa mazingira, usafi wa ndani ni mradi mmoja
  • Taarifa zote za mradi za kisekta na fedha zinatolewa na mteja

Mwisho (End):

Kama umependa makala hii weka maoni yako ya shukrani hapo chini au washirikishe marafiki zako wa kwenye Facebook, Instagram, Linkedin, Whatsapp, Twitter na kwenye email au mitandao mingine ya kijamii. Wasiliana nasi kama unataka kuweka kwenye blogu au website yako kwa maelekezo zaidi

If you found this article helpful please leave the comment below or share to your friends in Facebook, Instagram, Linkedin, Whatsapp, Twitter and in email or other social media. Contact us if you plan to list in your blog or website for further instructions.

Tutembelee kwenye mitandao ya kijamii hapa chini:

We offer but not limited to the following:
Business Office Documents Development, Company Registration, Business Plan Development, Curricula Development for colleges, Office Digitization Consultancy, Online Presence and Marketing Consultancy, Leadership and Management Consultancy, Constitution Development  and much more

English Form

Fomu ya Kiswahili


city, country
mji, nchi