Jinsi ya kupata ufadhili wa kusoma nje ya nchi

Jinsi ya kupata ufadhili wa kusoma nje ya nchi

Ifuatayo ni hatua 7 rahisi za namna ya kupata ufadhili wa kusoma ndani au nje ya nchi ili kuboresha taaluma yako.

  1. Weka mpango  mkakati wa kuinua taaluma yako
  2. Tafiti na changanua vyuo na au taasisi zinazotoa ufadhili
  3. Jitadhmini kama unazo sifa kulingana na matokeo ya tafiti no 3 (umri, jinsia, ukanda unakotoka, taaluma yako, ufaulu wako nk)
  4. Weka ratiba na bajeti ya kutuma maombi kwenye vyuo na au taasisi ulizoziainisha kwenye no. 3
  5. Jiandae kisaikolojia na kialiki kwa matokeo
  6. Usichague chuo au ufadhili ali mradi inaendana na maono yako uliyoweka kwenye na. 1 hapo juu
  7. Changanua nguvu na madhaifu yako katika mtiririko wote kuanzia na. 1 hadi 6 na urudie kwa kuboresha zaidi

Ninafundisha namna rahisi ya kupata ufadhili wa kusoma nje ya nchi. Pia ninafanya kazi hiyo mwenyewe tukielewana kwa malipo rahisi tu. Wallengwa ni mashirika, vyuo, makanisa, NGO, CBO na watu binafsi. Nk

NB: Tafadhali usipige simu, email yenye maelezo sahihi na ya kujitosheleza itajibiwa ndani ya masaa 24

Mwisho (End):

Kama umependa makala hii weka maoni yako ya shukrani hapo chini au washirikishe marafiki zako wa kwenye Facebook, Instagram, Linkedin, Whatsapp, Twitter na kwenye email au mitandao mingine ya kijamii. Wasiliana nasi kama unataka kuweka kwenye blogu au website yako kwa maelekezo zaidi

If you found this article helpful please leave the comment below or share to your friends in Facebook, Instagram, Linkedin, Whatsapp, Twitter and in email or other social media. Contact us if you plan to list in your blog or website for further instructions.

Tutembelee kwenye mitandao ya kijamii hapa chini:

We offer but not limited to the following:
Business Office Documents Development, Company Registration, Business Plan Development, Curricula Development for colleges, Office Digitization Consultancy, Online Presence and Marketing Consultancy, Leadership and Management Consultancy, Constitution Development  and much more

English Form

Fomu ya Kiswahili


city, country
mji, nchi