Biashara yeyote ina mali za muda mrefu kama shamba, nyumba, fanicha, mashine nk. Kwa hiyo kitabu cha mali ya biashara lengo lake ni kuweka kumbukumbu ya mali zote za biashara yako ili isipotee bure au kuibiwa.
Jina la Biashara…………………………………………… Jina la mtunza ofisi …………………………
Tarehe |
Maelezo ya mali |
Namba |
Bei |
Hali ya mali |
Sahihi ya mpokeaji |
Mwisho (End):
Kama umependa makala hii weka maoni yako ya shukrani hapo chini au washirikishe marafiki zako wa kwenye Facebook, Instagram, Linkedin, Whatsapp, Twitter na kwenye email au mitandao mingine ya kijamii. Wasiliana nasi kama unataka kuweka kwenye blogu au website yako kwa maelekezo zaidi
If you found this article helpful please leave the comment below or share to your friends in Facebook, Instagram, Linkedin, Whatsapp, Twitter and in email or other social media. Contact us if you plan to list in your blog or website for further instructions.
Tutembelee kwenye mitandao ya kijamii hapa chini:
English Form |
Fomu ya Kiswahili |