Kutengeneza Mpango wa Biashara

Kutengeneza Mpango wa Biashara

Lemburis Kivuyo Mshauri wa Biashara na TEHAMALemburis Kivuyo amekuwa akitoa ushauri wa biashara na ujasiriamali tangu mwaka 2005, kutengeneza mchanganuo au mpango wa biashara ni sehemu ya kazi yake anazozifanya nchini Tanzania.

Kama wewe una biashara au unatarajia kuwa na biashara yako mwenyewe au unawakilisha kampuni ya biashara utahitaji mpango wa biashara kwa sababu zifuatazo.

  1. Mpango wa biashara utakuongoza wewe jinsi ya kukabiliana na biashara yako kwa miaka 3, 5 au 10 ijayo
  2. Mpango wa biashara ni muhimu kama unatarajia kushawishi kupata fedha kutoka kwa wawekezaji
  3. Mpango wa biashara ni muhimu kwako kama wewe kutarajia kuomba mkopo kutoka benki au taasisi za fedha

 

 

Mpango au Mchanganuo wa Biashara una taarifa zifuatazo:

  1. Wazo la biashara
  2. Wasifu wa kampuni
  3. Taarifa ya bidhaa/Huduma
  4. Taarifa za soko na washindani wako
  5. Utawala na wafanyakazi
  6. Ratiba ya utekelezaji kwa miaka 3 -5
  7. Mkakati wa utekelezaji
  8. Makadirio ya fedha (Fedha za matumizi ya awali (Start-up funding, fedha za uwekezaji wa rasilimali (Investment funding), fedha za malipo ya mishahara (Personnel salaries), makadirio ya mauzo (sales forecast), makadirio ya matumizi (Expenditure forecast), Taarifa ya faida au hasara (profit and loss forecast), Mzunguko wa fedha (Cashflow), Taarifa ya uwiano wa mali za biashara (Balance sheet), Makadirio ya mauzo kwa mwezi na mwaka yanayowezesha kupata faida, (Breakeven analysis), Uwiano wa sehemu za biashara yako (Business ratios)
  9. Mwishoni (taarifa zingine muhimu kama viambatanisho vya leseni, mikataba, wasifu, risiti, Taarifa nk)

Tafadhali nitumie ujumbe kupata makadirio ya gharama kutoka kwangu

Mwisho (End):

Kama umependa makala hii weka maoni yako ya shukrani hapo chini au washirikishe marafiki zako wa kwenye Facebook, Instagram, Linkedin, Whatsapp, Twitter na kwenye email au mitandao mingine ya kijamii. Wasiliana nasi kama unataka kuweka kwenye blogu au website yako kwa maelekezo zaidi

If you found this article helpful please leave the comment below or share to your friends in Facebook, Instagram, Linkedin, Whatsapp, Twitter and in email or other social media. Contact us if you plan to list in your blog or website for further instructions.

Tutembelee kwenye mitandao ya kijamii hapa chini:

We offer but not limited to the following:
Business Office Documents Development, Company Registration, Business Plan Development, Curricula Development for colleges, Office Digitization Consultancy, Online Presence and Marketing Consultancy, Leadership and Management Consultancy, Constitution Development  and much more

English Form

Fomu ya Kiswahili


city, country
mji, nchi