Mafunzo ya Ujasiriamali

Mafunzo ya Ujasiriamali

Ujasiriamali ni nini?

Kuna tafsiri nyingi za ujasiriamali lakini zote zinaleta kwenye maana moja ya kugundua au kubuni biashara yenye faida na kuifanya

Tafsiri mbalimbali

  1. Ujasiriamali ni kukabiliana na vikwazo za biashara endapo kuna uwezekano wa kupata faida.
  2. Ujasiriamali ni uwezo wa kukwepa vikwazo za biashara ili ufanikishe biashara yenye faida.
  3. Ujasiriamali ni kuleta bidhaa au huduma za kibunifu kwenye soko ambazo hazijawahi kuwepo na zenye kuhimili na kushinda ushindani na kuziondoa kwenye soko bidhaa hafifu.
  4. Ujasiriamali ni ule uwezo wa kuleta ubunifu na maboresho yenye kuleta sio tu hamasa bali pia kuwa kichocheo cha mabadiliko.
  5. Ujasiriamali ni uwezo wa kusoma na kuelewa mabadiliko na kuhatamia fursa zilizopo katika mabadiliko ili kupata faida.

Mafunzo yanayotolewa ni:

  1. Namna ya kuanzisha biashara mpya (hatua 26).
  2. Namna ya kuendeleza na kuboresha biashara inayoendelea.
  3. Namna ya kutafuta masoko na kutangaza biashara yako.
  4. Namna ya kutafuta mtaji. 
  5. Namna ya kutambua, kuhatamia na kutumia vyema fursa mbalimbali zilizokuzunguka
  6. Namna ya kuthibiti vikwazo katika biashara yako.
  7. Namna ya kuweka kumbu kumbu za hesabu za biashara yako.
  8. Namna ya kuandika mpango/mchanganuo wa biashara kwa njia rahisi

Mwisho (End):

Kama umependa makala hii weka maoni yako ya shukrani hapo chini au washirikishe marafiki zako wa kwenye Facebook, Instagram, Linkedin, Whatsapp, Twitter na kwenye email au mitandao mingine ya kijamii. Wasiliana nasi kama unataka kuweka kwenye blogu au website yako kwa maelekezo zaidi

If you found this article helpful please leave the comment below or share to your friends in Facebook, Instagram, Linkedin, Whatsapp, Twitter and in email or other social media. Contact us if you plan to list in your blog or website for further instructions.

Tutembelee kwenye mitandao ya kijamii hapa chini:

We offer but not limited to the following:
Business Office Documents Development, Company Registration, Business Plan Development, Curricula Development for colleges, Office Digitization Consultancy, Online Presence and Marketing Consultancy, Leadership and Management Consultancy, Constitution Development  and much more

English Form

Fomu ya Kiswahili


city, country
mji, nchi