Register
A password will be e-mailed to you.

Ifuatayo hapa chini ni mwongozo wa Namna bora ya kuandika katiba ya ngo, cbo au kikundi chochote. Mambo muhimu katika kuandika katiba yameorodheshwa. Uandishi wa katiba halisi unaweza kubadilika kulingana na

 1. Aina ya Taasisi
 2. Malengo ya waanzilishi
 3. Aina ya Wanachama nk

Sehemu muhimu za katiba ya NGO, CBO, Jumuiya au kikundi chochote kisicho na lengo la faida

Kasha la nje

Utangulizi

Majina ya waanzilishi

Sura ya kwanza

 1. Jina, Anuani na Nembo na Makao makuu ya shirika

Sura ya pili

 1. Lugha za shirika

Sura ya tatu

 1. Tafsiri ya maneno

Sura ya nne

 1. Hadhi ya shirika

Sura ya tano

 1. Nia, madhumuni na malengo ya shirika

Sura ya sita

 1. Maeneo ya kijiografia ya kutoa huduma

Sura ya saba

 1. Uanachama
  1. Sifa za kuwa mwanachama
  2. Kiingilio na ada za kila mwaka
 • Haki za uanachama
 1. Aina za uanachama
 2. Wajibu wa wanachama
 3. Ukomo wa uanachama

Sura ya nane

 1. Uongozi na utawala
  • Sifa za kugombea
  • Katibu mkuu mtendaji
   1. Kazi za katibu mkuu mtendaji
   2. Muda wa kukaa madarakani
 • Sababu zinazoweza kumfanya katibu mkuu mtendaji kuachishwa kazi.
 • Mwenyekiti wa shirika
  1. Kazi na wajibu wa mwenyekiti wa shirika
 • Makamu mwenyekiti wa shirika
  1. Kazi na wajibu wa makamu mwenyekiti wa shirika
 • Mhasibu wa shirika.
  1. Kazi za mhasibu
 1. Taasisi za shirika
  • Mkutano mkuu wa shirika
   1. Kazi na majukumu ya mkutano mkuu
  • Bodi ya wadhamini
   1. Kazi na majukumu ya bodi ya wadhamini
   2. Muda wa kuwepo madarakani
 • Kutoendelea kuwa mjumbe wa bodi
 1. Mikutano ya bodi ya wadhamini
 • Kamati ya utendaji
  1. Wajumbe wa kamati ya utendaji
  2. Kazi na wajibu wa kamati ya utendaji
 • Muda wa madaraka
 1. Mikutano ya kamati ya utendaj

Sura ya tisa

 1. Fedha na mali za shirika.
  • Sheria na sera za fedha
  • Vyanzo vya mapato
  • Akaunti za benki
  • Ukaguzi wa mahesabu.
  • Tathmini ya miradi ya shirika.

Sura ya kumi

 1. Marekebisho ya katiba.

Sura ya kumi na moja

 1. Kuvunjika kwa shirika

Viambatanisho

 1. Cheti cha usajili
 2. Leseni kama ipo
 3. Mikatana mbalimbali
 4. Wasifu wa viongozi wakuu wa shirika
 5. Orodha ya wadhamini, walezi, wafadhili wa shirika
 6. Nakala ya taarifa zozote muhimu ziwekwe hapa

 

About The Author

A Busi­ness, IT and Com­mu­nity Related Project Consultant

One Response

Leave a Reply

%d bloggers like this: