Register
A password will be e-mailed to you.

Sehemu ya I:   Kuendesha biashara ndogo ndogo

Maelezo ya utangulizi juu ya biashara ndogondogo na faida yake kwa wajasiriamali na taifa kwa ujumla

1.0        Biashara ndogo ndogo ni ile ambayo

–                      Inamilikiwa na kuendeshwa kibinafsi

–                      Inafanya kazi katika eneo dogo la nyumbani

–                      Haijaota mizizi katika utendaji

–                      Ina mtaji mdogo.

2.0        Umuhimu wa Biashara ndogo ndogo

–                      Inachangia mchango mkubwa sana katika uchumi

–                      Ni rahisi kuifanya, kimtaji na kiuongozi

–                      Ni rahisi kupata wateja

3.0        Faida ya biashara ndogo ndogo

–                      Inakuza uchumi kwa haraka, ndio maana wachumi wengi duniani wameipa umuhimu

–                      Inazalisha sana kwani inahitaji wafanyakazi wachache

–                      Ugunduzi wa technolojia mpya

–                      Inachangia ushindani wa kibiashara na kuleta ahueni kwa walaji.

4.0        Vikwazo kwa Wafanya biashara ndogo ndogo

  1. Elimu ya biashara
  2. Ufahamu wa soko
  3. Utaalamu wa kiufundi
  4. Mtaji wa kuanzia
  5. Ufahamu wa biashara husika motisha
  6. Aibu ya kijamii, kimila au kielimu nk.
  7. Muda usiotosha
  8. Vikwazo vya kisheria, sera nk.
  9. Kulindana kibiashara, kumiliki soko (monopoly)

About The Author

A Busi­ness, IT and Com­mu­nity Related Project Consultant

Leave a Reply

%d bloggers like this: