Uchambuzi wa wadau wa mradi

Uchambuzi wa wadau wa mradi

Wadau wa mradi ni watu au taasisi ambazo zinahusika kwa naman moja au nyingine katika maendeleo ya eneo mradi ulipo. Wadau wanaweza kuwa ni wakazi, wafanyakazi, wageni, wafanyabiashara, au mashirika na taasisi mbalimbali kwenye eneo la mradi. Wadau wakitambuliwa na kutumiwa vizuri wanaweza kuongeza thamani kwenye matokeo ya mradi. Wasipotambuliwa na kutumiwa vizuri wanaweza aidha kuwa na madhara kwenye mradi au mradi usinufaike kwa uwepo wao.

Kuna aina kuu nne za wadau wa mradi kama ifuatavyo:

  1. Wadau wenye matakwa yanayoendana na uwepo wa mradi
  2. Wadau wenye matakwa yanayokinzana na uwepo wa mradi
  3. Wadau wenye umuhimu kwenye mradi na
  4. Wadau wasio na umuhimu kwenye mradi

Hatua muhimu za kufanya:

  1. Kuwatambua wadau wote waliopo katika eneo la mradi
  2. Kutafiti ili kujua matakwa yao na umuhimu wao katika mradi
  3. Weka mikakati ya kuwashirikisha katika uendeshaji wa mradi kulingana na matakwa na umuhimu wao

Jedwali la kupima umuhimu wa kila mdau na ngazi ya ushirikishwaji

Ngazi ya ushiriki

Aina ya ushirikiano

Ushiriki hauhitajiki kwa wadau hawa Ushiriki katika ngazi ya kutoa taarifa tu Ushiriki katika ngazi ya kutoa Ushauri Ushiriki katika ngazi ya kuwa mshiriki mwenza Ushiriki katika ngazi ya kudhibiti uendeshaji wa mradi
Utambuzi wa mradi *** *** *** *** ***
Kupanga mradi *** *** *** *** ***
Kusimamia mradi *** *** *** *** ***
Kufuatilia na Kutathimini mradi *** *** *** *** ***

*** Taja majina yao hapa

Kumbuka: Mdau anaweza kutokea mara nyingi kwenye vyumba kwenda chini lakini sio kwenda kulia

Mwisho (End):

Kama umependa makala hii weka maoni yako ya shukrani hapo chini au washirikishe marafiki zako wa kwenye Facebook, Instagram, Linkedin, Whatsapp, Twitter na kwenye email au mitandao mingine ya kijamii. Wasiliana nasi kama unataka kuweka kwenye blogu au website yako kwa maelekezo zaidi

If you found this article helpful please leave the comment below or share to your friends in Facebook, Instagram, Linkedin, Whatsapp, Twitter and in email or other social media. Contact us if you plan to list in your blog or website for further instructions.

Tutembelee kwenye mitandao ya kijamii hapa chini:

We offer but not limited to the following:
Business Office Documents Development, Company Registration, Business Plan Development, Curricula Development for colleges, Office Digitization Consultancy, Online Presence and Marketing Consultancy, Leadership and Management Consultancy, Constitution Development  and much more

English Form

Fomu ya Kiswahili


city, country
mji, nchi