Register
A password will be e-mailed to you.

hatua muhimu katika kuanzisha biasharaHatua ya 12: Kuandika Mchanganuo wa Biashara (Business Plan)

 • Baada ya kufanya hayo yote sasa ni wakati mzuri wa kuandika  mchanganuo wa biashara yako
 • Mchanganuo wa biashara ni maelezo ya kina ambayo inaonyesha biashara yako ilikotoka, inakokwenda, hali ya masoko, sekta, kifedha na uongozi wa biahara yako. Ni taarifa muhimu ya kuwavutia wawekezaji na watoa mikopo kama mabenki

Mambo muhimu ya kujua katika kuandika Mchanganuo wa Biashara

 1. Kasha la nje
 2. Muhtasari wa biashara yako
 3. Historia na maelezo ya biashara yako
 4. Maelezo ya bidhaa au huduma ya biashara yako
 5. Mchanganuo wa masoko
 • Ukubwa wa soko
 • Mgawanyo wa soko
 • Aina ya soko/masoko
 • Watoa huduma au wauza bidhaa kama yako
 • Udhaifu wao
 • Uwezo wao
 • Uongozi na usimamizi wa kazi
 • Uchambuzi wa madhaifu, nguvu, fursa na hatari zinazokabili biashara yako
 • Mkakati wa Uzalishaji
 • Mkakati wa kuuza
 1. Mchanganuo wa ushindani
 1. Mkakati wa utekelezaji
 1. Mpango wa fedha
 • Uchambuzi wa mahitaji ya mtaji
 • Wapi utatoa mtaji
 • Matumizi ya mtaji
 • Makisio ya Mauzo
 • Uchambuzi wa kurudisha gharama (break even analysis)
 • Makisio ya faida au hasara
 • Makisio ya mzunguko wa fedha katika biashara yako (cashflow)
 • Makisio ya oanisho la mali na madeni ya biashara yako (balance sheet)
 • Ulinganifu wa sehemu mbalimbali za biashara (business ratios)
 • Viambatanisho
  Lesseni
  ii.    Cheti cha ulipaji kodi
  iii.    Cheti cha usajili
  iv.    Taarifa mbalimbali za biashara yako ambazo hazikupata nafasi ndani ya mchanganuo huu
  v.    nk

English Form

Fomu ya Kiswahili


Leave a Reply

Your email address will not be published.

7 + twelve =

Service Quotation Request Form

Please fill the necessary information below

PO Box 1999, city, country

Fomu ya maombi ya huduma

Tafadhali jaza taarifa muhimu hapa chini

SLP 1999, mji, nchi