Register
A password will be e-mailed to you.

Kuhusu Ukoo wa Kivuyo, About Kivuyo Clan

Kiswahili

Historia ya Ukoo wa Kivuyo

Kivuyo au Kipuyo ni ukoo mdogo uliotokea kwenye ukoo wa Molell ambao ndio ukoo mkubwa wa Kimasai ambao wote kwa pamoja wana asili iliyofanana. Wote Mollel na Kivuyo wanaongoza kwa umiliki wa mali za asili ambazo ni mifugo.

Maana ya Neno Kipuyo au Kivuyo

Jina la Kivuyo, au wengine huita “Kipuyo” ni jina la mojawapo ya koo za Kimasai ambayo imetokana na kumeguka kwa familia moja ndogo ndani ya Mollel na kuunda ukoo mpya hapo zamani takribani karne ya 17 au 18 hivi

Koo zote za kimasai ni

  1. Mollel – Ukoo mkubwa
  2. Laizer
  3. Kivuyo
  4. Lukumai

In English

The History of Kivuyo or Kipuyo

Kivuyo or Kipuyo is a small clan that originated in a largest clan in Maasai called Mollel. Kivuyo and Mollel are all together have the same nature. Both Mollel and Kivuyo are the elading clans in the ownership of traditional resources that are livestock.

Meaning of Kivuyo or Kipuyo

The name Kivuyo, or the other calls “KIPUYO” is the name of one of the Masai family that has emerged and separated from Mollel, the largest clan in Maasai tribe and created a new clan derived from the name of …… almost in the late of 17th century or early of 18 Century.

Other Clans of Maasai are

  1. Mollel –The largest clan
  2. Kivuyo
  3. Laizer,
  4. Lukumai

English Form

Fomu ya Kiswahili


PO Box 1999, city, country
SLP 1999, mji, nchi