Register
A password will be e-mailed to you.
 1. Majadiliano: Mwezeshaji na wawezeshwaji

a.   Wanauza wapi, nini, lini?

b.   Mafanikio

c.   Changamoto

d.   Maoni

 1. Dhana ya masoko
  1. Leads (Umma unaowategemea na wanatazamia kununua bidhaa yako au huduma, idadi, uwezo, aina yao, mambo wanayoyapenda)
  2. Wateja walengwa
  3. Kuuza(selling)
  4. Kuongeza dhamani ya mauzo
  5. Huduma nzuri kwa wateja ili warudi
 2. Taarifa za wateja (customer’s database)

Jina, simu, barua pepe, tovuti, shughuli yake

 1. Hatua za kufuata katika kutekeleza utafutaji wa masoko
  1. Kuinisha wateja wako
  2. Kuanisha mahitaji yao
  3. Kuainisha uwezo wao wa kiuchumi
  4. Kujua idadi ya walengwa
  5. Kujua wanapatikanaje/wanafikiwaje
  6. Kuainisha uwezo wako wa kuhudumia soko
  7. Jifunge mkanda
 2. Kalenda-Mpango wa kufanya masoko

Tarehe – Shughuli, Kusudi – Mahitaji – Bajeti Mhusika-

 1. Njia kuu za kuwafikia walengwa
  1. Radio
  2. TV
  3. Magazeti
  4. Mikutano/kongamano/warsha/semina
  5. Tovuti (website)
  6. Gari la matangazo
  7. Mabango
  8. Vipeperushi/vitabu/majarida/Makala/Kadi nk
  9. Kutembelea ofisini/nyumbani
 2. Utekelezaji
  1. Weka ratiba ya kufanya kimkakati

i. Mfano: utaanza wapi na utaishia wapi?

ii. Utaanza na njia gani?

  1. Anza na majaribio
  2. Endelea na njia bora

English Form

Fomu ya Kiswahili


About The Author

Lemburis Kivuyo is a Busi­ness, IT and Com­mu­nity Related Project Consultant. Specialized in Business Establishment, Leadership training, Online Marketing, Small groups and teams leadership and management, Curriculum Development, Constitution development and much more.

Related Posts

Leave a Reply

Your email address will not be published.

6 − five =

PO Box 1999, city, country
SLP 1999, mji, nchi