Wasifu wa Lemburis Kivuyo ni pamoja na kuwa mshauri wa biashara na TEHAMA katika kubuni biashara, na miradi, kuanzisha na kusimamia ili ilete faida iliyokusudiwa.
Ninafanya ushauri wa miradi ya jamii, biasha... Read More...
Utangulizi
Uimbaji ni sanaa na hivyo inahitaji utaalamu, ubunifu na umahiri katika kuifanya. Unashauriwa kama ni mara yako ya kwanza kutoa album au wimbo usitoe wa video mpaka hiyo album ya audio ikubalike. Ka... Read More...
Ifuatayo ni hatua rahisi za kutafuta ufadhili kupitia internet. Ufadhili waweza kuwa ni ule wa kusoma nje, kufanya tafiti, miradi ya kijamii, shule, kanisa nk
Weka mpango mkakati wa kuinua mradi husika
... Read More...
Uandishi wa CV unategemea sana secta husika, CV za wahandisi ni tofauti na za wanasheria au waalimu nk.
Lakini CV zote zinafuata mlolongo huu hapa chini
Kichwa cha habari -mfano CV au Resume
Taarifa ... Read More...
Mafunzo ya Masoko Kwa Wafanyabiashara Wadogo: Dhana ya masoko, Hatua za kufuata katika kutekeleza utafutaji wa masoko, Kalenda-Mpango wa kufanya masoko
Ninafanya na kufundisha namna rahisi ya kuandika andiko la mradi kuanzia zile za miradi midogo mpaka mpaka miradi mikubwa
Andiko la mradi
Gharama ni asilimia 3 ya bajeti
Viwango ni katika Shilin... Read More...
Ifuatayo ni hatua 7 rahisi za namna ya kupata ufadhili wa kusoma ndani au nje ya nchi ili kuboresha taaluma yako.
Weka mpango mkakati wa kuinua taaluma yako
Tafiti na changanua vyuo na au taasisi zin... Read More...
Utangulizi
Ifuatayo hapa chini ni mwongozo wa Namna bora ya kuandika katiba ya mashirika yasiyo ya kiserikali au vikundi. Mambo muhimu katika kuandika katiba yameorodheshwa hapa chini.
Uandishi wa katiba hali... Read More...
Ninafundisha namna rahisi ya kupata scholarship nje ya nchi. Pia ninafanya kazi hiyo mwenyewe tukielewana kwa malipo rahisi tu. Wallengwa ni mashirika, vyuo, makanisa, NGO, CBO na watu binafsi. Nk... Read More...