Register

18 − 15 =

A password will be e-mailed to you.

Miradi ya Kijamii

Mafunzo kwenye Miradi ya Kijamii kwa taasisi na wawezeshaji wote wanaosimamia miradi ya maendeleo ya jamii.
Hii inagusa maneneo ya:
1) Kubuni na Kuanzisha Mradi
2) Kuwezehsaji Viongozi wa Vikundi na CBO/NGO
3) Kusimamia Miradi
4) Kusimamia Fedha na Mali ya Miradi
5) Uwekaji wa Kumbukumbu za Mradi
6) Uandishi wa Ripoti na Nyaraka za Mradi
7) Kutathmini Mradi
8) Ukaguzi wa Mradi
9) Masuala ya Kisheria
10) Masuala Mtambuka

Jinsi Ya Kuandika Andiko La Mradi

Jinsi Ya Kuandika Andiko La Mradi

Andiko la Mradi ni maelezo yanayoelezea mradi husika kwa kujibu maswali ya vihatarishi vya mradi, fursa zilizopo, rasilimali na jinsi vitakavyotumika, mpangilio mzima wa kuutekeleza mradi ikiwa ni pamoja na uongozi na usimamizi, mpango endelevu wa mradi kwa hapo baadaye kwa upande wa kitaasisi na kifedha
Kitabu cha benki

Kitabu cha benki

Kitabu cha benki inaweka kumbukumbu za pesa zote zilizopo benki. Inawezesha kufanya oanisho kwa urahisi kati ya pesa zilizopo benki na zile zilizopo katika vitabuAkaunti ya benki ni muhimu kwani inadhibiti ...
Kitabu cha stoo

Kitabu cha stoo

Kitabu cha stoo lengo lake ni kuweka kumbukumbu ya bidhaa za kuuzwa au malighafi ili zisipotee bure au kuibiwa. Na pia inawezesha kutumika vizuri au kuuzwa kwa utaratibu mzuri bila kujichanganya. Kila bidhaa ir...
Kitabu cha mali ya Biashara

Kitabu cha mali ya Biashara

Biashara yeyote ina mali za muda mrefu kama shamba, nyumba, fanicha, mashine nk. Kwa hiyo kitabu cha mali ya biashara lengo lake ni kuweka kumbukumbu ya mali zote za biashara yako ili isipotee bure au kuibiwa. ...
Kitabu cha mapato

Kitabu cha mapato

Kwa kweli ukitaka biashara yako ife kwa haraka, fanya bila ya kuwa na kitabu cha mapato. Hata mfanyakazi wako ambaye ni mwaminifuAndika fedha zote zinazoingia katika biashara yako kama mapato, mfano umeuza nyan...
Kitabu cha matumizi

Kitabu cha matumizi

Kitabu cha matumizi ni mojawapo ya vitabu muhimu sana sana itakayokuwezesha kujua kwa hakika kiasi gani cha fedha inatoka katika biashara yako.  Sambamba na mapato, biashara yeyote hutumia fedha kwa ajili ya ma...
Kitabu cha mikopo

Kitabu cha mikopo

Kitabu cha mikopo ni muhimu ili kutunza kumbukumbu zote za mikopo, kama umechukua mkopo kutoka kwa rafiki, ndugu, kijijini, serikalini, taasisi yeyote ya kukopehsa au benki, rekodi hapa chini ili uweze kufuatil...
Vitabu vya Fedha

Vitabu vya Fedha

Utunzaji wa Vitabu vya Fedha Utanzaji ni nini?Kuweka vizuri visiibwe, visiharibike, visiharibiwe, vikitakiwa vipatikane kwa haraka nkKama neno linavyosema “vitabu vya fedha” ni moyo wa biashara yako. V...
Kitabu cha madeni

Kitabu cha madeni

Japokuwa hutakiwi kukopesha hovyo hovyo, lakini tafiti zinaonyesha kuwa biashara inayozungusha sana mtaji na faida ni ile inayokopesha kwani wateja hupenda kununua sana kwa mfumo huu wa kukopesha. Rekodi madeni...
Bajeti ya Mmradi Mzima

Bajeti ya Mmradi Mzima

Bajeti ya mradi mzimaJumla ya gharama za mradi ni kiasi gani Mchanganuo wake kulingana na maelezo yote ya mradi na malengo Mgawanyiko wa gharama hizo ni nini ? Yaani fedha inayo kwenda moja kwa moja...