Register

twelve + 12 =

A password will be e-mailed to you.

Miradi ya Kijamii

Mafunzo kwenye Miradi ya Kijamii kwa taasisi na wawezeshaji wote wanaosimamia miradi ya maendeleo ya jamii.
Hii inagusa maneneo ya:
1) Kubuni na Kuanzisha Mradi
2) Kuwezehsaji Viongozi wa Vikundi na CBO/NGO
3) Kusimamia Miradi
4) Kusimamia Fedha na Mali ya Miradi
5) Uwekaji wa Kumbukumbu za Mradi
6) Uandishi wa Ripoti na Nyaraka za Mradi
7) Kutathmini Mradi
8) Ukaguzi wa Mradi
9) Masuala ya Kisheria
10) Masuala Mtambuka

Uendelevu wa Mradi

Uendelevu wa Mradi

 Uendelevu wa MradiNi mikakati ipi umeweka ya kuendeleza mradi huu Mikakati ya kishirika na kitaasisi Mikakati ya kifedha kwaajili ya uendelevu wa mradi Mikakati ya Kijamii na kiutamaduni kuling...