Register
A password will be e-mailed to you.

Kuna aina kuu nne zilizo rasmi za staili za uongozi kama ifuatavyo:

  1. Autocratic/Authoritative Leadership Style- uongozi wa kutoa amri na unafaa sana kwenye uongozi wa kimila na kidini
  2. Dictatorship Leadership Style – uongozi wa kuamua kwa niaba ya watu katika maeneo muhimu ya maisha – demokrasia iko kwa mbali. Inafaa jamii ambazo hazikusoma na hazijui wajibu wao ikiwa ni pamoja na wajibu wao wa kiraia na kikatiba
  3. Democratic Leadership Style – huu ni uongozi ambao maeneo muhimu ya maisha watu hujiamulia wenyewe. Kuna elements za udikteta kwa mbali. Inafaa sana jamiii zilizosoma na zinazojua wajibu wao ikiwa ni pamoja na wajibu wa  kiraia na kikatiba
  4. Laissez-Faire Leadership Style ni uongozi ambao watu wanajifanyia mambo yao bila kuingiliwa na serikali. Ama serikali hushughulika na mambo machache sana – Inafaa kwenye jamii zenye upeo mkubwa kielimu na kwenye masuala ya kisheria. AIdha inafaa kwa jamii zenye hali ya juu ya kuwajibika kwa kufuata sheria bila shurutiLeave a Reply