Register
A password will be e-mailed to you.

Karibu Kwenye Tovuti ya Elimu ya Ujasiriamali na Biashara

Tovuti ya  Kivuyo ipo ili kukupa/kukushirikisha taarifa muhimu za ushauri, mafunzo, mbinu na huduma za TEHAMA (Technolojia ya Habari na Mawasiliano), ujasiriamali na biashara

Ni Tovuti ya Elimu ya Ujasiriamali na Biashara kwa ushauri, mafunzo, mbinu na huduma za kuanzisha, na kukuza biashara yako.  Tunatoa huduma za kuandika mpango/mchanganuo wa biashara, mpango mkakati, andiko la mradi, ripoti, utunzaji wa fedha, kusimamia wafanyakazi, elimu ya masoko na wateja, ubora wa bidhaa na huduma, kutengeneza mitandao ya biashara, mambo ya kisheria,uwekezaji wa juu nk. Tunakuomba fuatilia website yetu upate maelekezo zaidi na ushauri kwa undani.

Mfano wa ushauri, mafunzo na huduma ninazotoa ni

  1. Kuandika mchanganuo wa biashara
  2. Kuandika andiko la biashara/mradi
  3. Kuandika mpango mkakati
  4. Matumizi ya kompyuta na intaneti kwa mawasiliano, masoko na kutafuta watoa huduma
  5. Mafunzo ya uongozi na ujasiriamali
  6. Kuanzisha makampuni na mashirika yasiyo ya kiserikali
  7. Nk

Je unataka kujua namna nzuri ya kubuni kuanzisha na kusimamia biashara yako?  Kwa mawasiliano na ushauri niandikie

English Form

Fomu ya Kiswahili


PO Box 1999, city, country
SLP 1999, mji, nchi