Jinsi ya Kupata Ufadhili wa NGO au CBO

Hatua 4 Rahisi za Kupata Ufadhili wa CBO/NGO1) Anza kwa kufanya mwenyewe kwanza 2) Hamasisha Watu Wako wa Karibu 3) Hamasisha ufadhili mdogo na mkubwa kwa watu wa mji wako 4) Toka nje ya mipaka ya mji/nchi yako1) Anza kwa kufanya mwenyewe kwanzaAnza kutumia mali zako, nguvu yako, akili yako … Continue reading