Register

16 + 12 =

A password will be e-mailed to you.

Ifuatayo ni hatua rahisi za kutafuta ufadhili kupitia internet. Ufadhili waweza kuwa ni ule wa kusoma nje, kufanya tafiti, miradi ya kijamii, shule, kanisa nk

  1. Weka mpango  mkakati wa kuinua mradi husika
  2. Tafiti na changanua taasisi zinazotoa ufadhili
  3. Jitadhmini (kwa kutumia SWOT Analysis) kama unazo sifa au mradi wako unazo sifa za kufadhiliwa kulingana na matokeo ya tafiti no 3 (umri, jinsia, ukanda unakotoka, taaluma yako, sekta, ufaulu wako nk)
  4. Weka ratiba na bajeti ya kutuma maombi kwenye taasisi ulizoziainisha kwenye no. 3
  5. Jiandae kisaikolojia na kialiki kwa matokeo
  6. Usichague sana mfadhili au wafadhili. Kama wanaendana na maono yako au ya mradi wako uliyoweka kwenye na. 1 hapo juu inatosha
  7. Changanua nguvu na madhaifu yako katika mtiririko wote kuanzia na. 1 hadi 6 na urudie kwa kuboresha zaidi

Ninafundisha namna rahisi ya kupata ufadhili. Pia ninafanya kazi hiyo mwenyewe tukielewana kwa malipo rahisi tu. Wallengwa ni mashirika, vyuo, makanisa, NGO, CBO na watu binafsi. Nk

NB: Tafadhali usipige simu, email yenye maelezo sahihi na ya kujitosheleza itajibiwa ndani ya masaa 24

Taarifa:

Tunaweza kutoa huduma hii kwa gharama kidogo, huduma yenyewe yaweza kuwa ni ushauri, mafunzo au kufanya kazi husika. Tunatoa pia huduma ya masafa kupitia chat, email, mitandao ya kijamii nk

We offer services at substantial low cost. The service are consultation, training and doing personally the actual work. We also offer services remotely through chat, email, social media interfaces etc

__________________________________________________
We offer but not limited to the following:
Business Office Documents Development, Company Registration, Business Plan Development, Curricula Development for colleges, Office Digitization Consultancy, Online Presence and Marketing Consultancy, Leadership and Management Consultancy, Constitution Development  and much more

English Form

Fomu ya Kiswahili


city, country
mji, nchi