Register
A password will be e-mailed to you.

Ninafanya na kufundisha namna rahisi ya kuandika andiko la mradi kuanzia zile za miradi midogo  mpaka mpaka miradi mikubwa

Andiko la mradi

Gharama ni asilimia 3 ya bajeti

Viwango ni katika Shilingi ya KitanzaniaKutokaKwendaUshauriAsilimia ya AdaAda
Mradi mdogo           1,000,000         10,000,000            50,0003.0%         350,000.0
Miradi wa kati         10,000,000         50,000,000          150,0002.0%     1,150,000.0
Miradi wa kati         50,000,000       500,000,000          500,0001.5%     8,000,000.0
Mradi mikubwa       500,000,000   2,000,000,000      1,500,0001.0%   21,500,000.0
  • Kikokotozi hiki ni kwa ajili ya mradi mmoja tu, kama mradi utahusika na mambo mengi kila jambo ni sawa na mradi mmoja
  • Mfano mradi wa malaria kama itahusika pia na miradi ya uchumi basi itakuwa ni miradi miwili
  • Mradi wa kusambaza maji ambao ni lazima uhusike na uelimishwaji, usafi wa mazingira, usafi wa ndani ni mradi mmoja
  • Taarifa zote za mradi za kisekta na fedha zinatolewa na mteja

English Form

Fomu ya Kiswahili


Leave a Reply

Your email address will not be published.

four × 4 =

Service Quotation Request Form

Please fill the necessary information below

PO Box 1999, city, country

Fomu ya maombi ya huduma

Tafadhali jaza taarifa muhimu hapa chini

SLP 1999, mji, nchi