Register

5 × five =

A password will be e-mailed to you.

UTANGULIZI

Risala ni taarifa fupi inayosomwa kwa njia ya hotuba mbele ya mgeni rasmi kwa niaba ya kundi fulani la watu ili kutoa shukurani, maoni, mapendekezo, au msimamo juu ya jambo fulani kwa mgeni rasmi.

Risala ina sehemu kuu nne (4) ambazo ni:

  • KICHWA CHA RISALA –
  • UTANGULIZI: Hapa panahusu sana utambulisho, salamu, ukaribisho na lengo la risala.
  • MADA: Sehemu ya mada ndiyo msingi wakuandika risala ambayo huonyesha historia fupi ya kikundi, mafanikio, changamoto, juhudi zilizofanywa kuyaondoa changamoto na changamoto zilzioshindikana ambazo mgeni rasmi au ofisi yake yaweza kusaidia kitu.
  • HITIMISHO: Toa shukurani, maoni, mapendekezo, tamko na msimamo wa kikundi kwa mgeni rasmi

MFANO WA RISALA YA MAHAFALI YA CHUO

Mfano wa Risala

Taarifa:

Tunaweza kutoa huduma hii kwa gharama kidogo, huduma yenyewe yaweza kuwa ni ushauri, mafunzo au kufanya kazi husika. Tunatoa pia huduma ya masafa kupitia chat, email, mitandao ya kijamii nk

We offer services at substantial low cost. The service are consultation, training and doing personally the actual work. We also offer services remotely through chat, email, social media interfaces etc

__________________________________________________
We offer but not limited to the following:
Business Office Documents Development, Company Registration, Business Plan Development, Curricula Development for colleges, Office Digitization Consultancy, Online Presence and Marketing Consultancy, Leadership and Management Consultancy, Constitution Development  and much more

English Form

Fomu ya Kiswahili


Leave a Reply