Register

five + two =

A password will be e-mailed to you.
Nahusika na kuwasaidia watu kusajili majina ya kampuni au biashara BRELA kupitia website ya ors.brela.go.tz. Nimeandika maelekezo ya bure kabisa ya namna ya kusajili jina la biashara au Kampuni kupitia website ya BRELA kwa wale ambao wataona gharama hizi hawatazimudu. kiunganishi chenyewe ni: Hatua 10 rahisi za kufuata ili usajili kampuni kupitia website ya BRELA
Gharama za kusajili jina la biashara – business name registration)
Gharama inahusisha yafuatayo:
  • Gharama za BRELA = 20,000
  • Utaalamu 30,000
Gharama zetu ni (Bonyeza kiunganishi husika kupata taarifa zaidi )

Gharama zinahusisha

  1. Gharama za BRELA
  2. Gharama za memart
  3. Gharama za mwansheria
  4. Gharama za ushauri na
  5. Gharama za ufuatiliaji
Maelezo zaidi:
-Gharama kuanzia na 3 hadi 6 zinaweza kupungua kulingana na maelewano maalumu
-Muda wa usajili ni siku 7 kama hakuna ukwamishwaji unaotokea kwa kucheleweshwa taarifa za wahusika wakuu wa kampuni, sababu za asili, matatizo ya mfumo wa usajili wa BRELA na au mifumo mingine zinazotegemana na usajili kama mfumo wa TRA, NIDA nk

Taarifa:

Tunaweza kutoa huduma hii kwa gharama kidogo, huduma yenyewe yaweza kuwa ni ushauri, mafunzo au kufanya kazi husika. Tunatoa pia huduma ya masafa kupitia chat, email, mitandao ya kijamii nk

We offer services at substantial low cost. The service are consultation, training and doing personally the actual work. We also offer services remotely through chat, email, social media interfaces etc

__________________________________________________
We offer but not limited to the following:
Business Office Documents Development, Company Registration, Business Plan Development, Curricula Development for colleges, Office Digitization Consultancy, Online Presence and Marketing Consultancy, Leadership and Management Consultancy, Constitution Development  and much more

English Form

Fomu ya Kiswahili


Leave a Reply

city, country
mji, nchi