Mafunzo na Elimu ya Ujasiriamali na Biashara

Pata mafunzo, elimu na huduma za biashara, ujasiriamali na TEHAMA (Technolojia ya Habari na Mawasiliano) kutoka kwa mshauri Lemburis Kivuyo. Ninatoa mafunzo katika vikundi na viongozi wa vikundi na CBO kwenye masuala ya uongozi, utawala bora na masuala yanayohusiana na uanzishwaji wa miradi na biashara. Pia ninatoa mafunzo na huduma ya uandishi wa ripoti, mchanganuo wa biashara (business plan), andiko la mradi (project proposal), memarts, sera za ofisi kama za fedha na wafanyakazi (financial and administration regulations, Human Resource Policy, Staff contracts), mtaala wa vyuo (curricula), write-ups, strategic plan, nk.

"Huwezi kuwa mfanyabiashara mpaka umiliki biashara"

"Huwezi kuwa mjasiriamali mpaka uwekeze mali zako kwa ujasiri"