Register
A password will be e-mailed to you.

Kitabu cha matumizi ni mojawapo ya vitabu muhimu sana sana itakayokuwezesha kujua kwa hakika kiasi gani cha fedha inatoka katika biashara yako.  Sambamba na mapato, biashara yeyote hutumia fedha kwa ajili ya mahitaji mbalimbali kama vile kulipa bill za maji na umeme, kulipa mishahara, kulipia matengenezo nk. Matumizi yote yarekodiwe hapa.

Jina la biashara…………………………………….……………… Mwaka wa fedha ……………………….

Tarehe

Maelezo ya matumizi

Idadi

Bei

Kiasi

     
     About The Author

A Busi­ness, IT and Com­mu­nity Related Project Consultant

Related Posts

Leave a Reply