Tunatoa ushauri wa biashara na ujasiriamali pamoja na TEHAMA kwa ujumla wake. Hasa tunashauri katika kuandika andiko la mradi, kuandika mchanganuo wa biashara, kuandika mpango mkakati,  kutengeneza tovuti,  na masoko masafa, utunzaji wa takwimu za fedha kupitia computer na uongozi