Register
A password will be e-mailed to you.

Mafunzo na Elimu ya Ujasiriamali na Biashara

Pata mafunzo, elimu na huduma za biashara, ujasiriamali na TEHAMA (Technolojia ya Habari na Mawasiliano) kutoka kwa mshauri Lemburis Kivuyo. Ninatoa mafunzo katika vikundi na viongozi wa vikundi na CBO kwenye masuala ya uongozi, utawala bora na masuala yanayohusiana na uanzishwaji wa miradi na biashara. Pia ninahusiak na mafunzo ya uandishi wa ripoti, mchsanganuo wa biashara, andiko la mradi nk.

"Huwezi kuwa mfanyabiashara mpaka unamiliki biashara"

"Huwezi kuwa mjasiriamali mpaka umewekeza mali zako kwa ujasiri"