Gharama za usajili wa kampuni BRELA kwa ufupi ni

Usajili wa kampuni unategemea mambo kadha wa kadha kama ifuatavyo

Na MELEZO YA ADA KIASI KTK TSHS

Gharama za BRELA

Kampuni ambayo hisa zake za nomino ni:

– Kati ya Tshs. 20,000/= na Tshs. 1,000,000/= 95,000
– Kati ya Tshs. 1,000,000/= na Tshs. 5,000,000/= 175,000
– Kati  ya Tshs. 5,000,000/= na Tshs. 20,000,000/= 260,000
– Kati ya Tshs. 20,000,000/= na Tshs. 50,000,000/= 290,000
– Zaidi ya Tshs. 50,000,000/= 440,000
Kampuni isiyo na hisa – company by guarantee 300,000
Kufaili taarifa muhimu na mhuri 82,200
Kuomba kuwekewa jina – name reservation 50,000
Kubadili jina la kampuni 22,000
Kupokea au kusajili kwa msajili taarifa ambayo kisheria lazima itumwe kwake 22,000
Faini ya kuchelewesha kufaili kwa mwezi kwa kila taarifa 2,500
Ada ya kufaili kwa mwaka – annual return fee 22,000
Kuthibitisha taarifa kwa kila ukurasa 3,000
Kutafuta faili lolote kwa kila faili 3,000
Kupewa ripoti iliyoandikwa ya utafutaji wowote kwa kila faili 22,000
Ada inayotakiwa kulipwa na kampuni ambapo sehemu ya XII sheria inahitaji kufanya hivyo

Gharama zetu

Kutengeneza MemArt pdf

 

100,000

Kuchapa kitabu cha ziada kwa kila kitabu 20,000
Kuthibitisha kwa mwanasheria kwa kila kitabu (vitabu vitatu) 150,000
Gharama ufuatiliaji na dharura 400,000
Gharama za Utaalamu 300,000 – 700,000