kuanzisha mradi

Jinsi ya kuanzisha mradi – Mambo 7 Muhimu ya Kuzingatia

Ili kuanzisha mradi kuna baadhi ya mambo muhimu ni vyema ukayajua. kulingana na ukubwa wa mradi kifedha na kieneo mambo muhimu yaweza kubadilika. Lakini katika miradi yote angalau haya mambo yanastahili kuzingatiwa:

  1. Kufanya Utafiti wa Uhitaji wa Mradi – Project Research or Situational Analysis
  2. Uchambuzi wa wadau – Stakeholders Analysis
  3. Mpangilio wa mradi – Project Design
  4. Andiko la Mradi-Project Proposal na kutafuta pesa na rasilimali zinazotakiwa-fundraising
  5. Kuweka mipango ya utekelezaji wa mradi, Usimamizi, Ufuatiliaji na Tathmini – Project Planning, Management, Monitoring and Evaluation hii ni pamoja na namna ya kufanya ukaguzi wa mahesabu-project audit na kufanya tathmini ya mradi-project evaluation
  6. Kutengeneza taasisi ya kusimamia mradi-Organization Development
  7. Kutengeneza sera mbalimbali-Policies Development

————————————————————————

Mwisho (End):

Kama umependa makala hii weka maoni yako ya shukrani hapo chini au washirikishe marafiki zako wa kwenye Facebook, Instagram, Linkedin, Whatsapp, Twitter na kwenye email au mitandao mingine ya kijamii. Wasiliana nasi kama unataka kuweka kwenye blogu au website yako kwa maelekezo zaidi

If you found this article helpful please leave the comment below or share to your friends in Facebook, Instagram, Linkedin, Whatsapp, Twitter and in email or other social media. Contact us if you plan to list in your blog or website for further instructions.

Tutembelee kwenye mitandao ya kijamii hapa chini:

We offer but not limited to the following:
Business Office Documents Development, Company Registration, Business Plan Development, Curricula Development for colleges, Office Digitization Consultancy, Online Presence and Marketing Consultancy, Leadership and Management Consultancy, Constitution Development  and much more

English Form

Fomu ya Kiswahili


city, country
mji, nchi