Utangulizi

Ifuatayo hapa chini ni mwongozo wa Namna bora ya kuandika katiba ya mashirika yasiyo ya kiserikali au vikundi. Mambo muhimu katika kuandika katiba yameorodheshwa hapa chini.

Uandishi wa katiba halisi unaweza kubadilika kidogo kulingana na

 1. Aina ya Taasisi
 2. Malengo ya waanzilishi
 3. Aina ya Wanachama nk

Sehemu muhimu za katiba

Mwongozo huu ni kwa ajili ya kuunda katiba za NGO, CBO, Jumuiya au kikundi chochote kinachoendeshwa kwa njia ya wanachama

A: KASHA LA NJE

 • JIna la katiba
 • Nembo
 • Maelezo/anuani ya Mwandishi

B: NDANI YA KATIBA

 • Dibaji
 • Shukrani

SURA YA 1.  TAFSIRI YA MANENO

SURA YA 2.  TAARIFA ZA SHIRIKA

 • HADHI YA SHIRIKA
 • JINA LA SHIRIKA
 • MAKAO MAKUU
 • MATAWI YA SHIRIKA
 • LUGHA
 • OFISI KUU RASMI
 • NEMBO YA SHIRIKA
 • MUHURI WA SHIRIKA

SURA YA 3.  MALENGO YA SHIRIKA

 • MAONO
 • UTUME
 • TUNU ZA SHIRIKA
 • MALENGO NA MADHUMUNI

SURA YA 4.  UANACHAMA

 • SIFA ZA KUWA MWANACHAMA
 • HAKI ZA KUWA MWANACHAMA
 • WAJIBU WA WANACHAMA
 • KUACHA UANACHAMA

SURA YA 5.  MUUNDO WA SHIRIKA

 • MCHORO WA MUUNDO
 • MKUTANO MKUU WA SHIRIKA
 1. KAZI NA MAJUKUMU YA MKUTANO MKUU
 • BODI YA WADHAMINI
 1. VIONGOZI NA WAJUMBE WA BODI WANAPATIKANAJE
 2. KAZI NA MAJUKUMU YA BODI YA WADHAMINI
 3. MIKUTANO YA BODI YA WADHAMINI
 4. MUDA NA UKOMO WA KUWA KIONGOZI AU MJUMBE
 • MWENYEKITI WA BODI
 1. ANAPATIKANAJE
 2. KAZI NA WAJIBU WA MWENYEKITI
 3. MUDA WA KUWA MADARAKANI
 4. KUKOMA KUWA MADARAKANI
 • KATIBU WA BODI
 1. ANAPATIKANAJE
 2. KAZI NA WAJIBU WA KATIBU
 3. MUDA WA KUWA MADARAKANI
 4. KUKOMA KUWA MADARAKANI
 • MKURUGENZI MKUU WA SHIRIKA
 1. ANAPATIKANAJE
 2. KAZI NA MAJUKUMU YAKE
 3. MUDA WA KUWA MADARAKANI
 4. KUKOMA KUWA MADARAKANI
 • MHASIBU MKUU WA SHIRIKA
  1. ANAPATIKANAJE
  2. KAZI NA MAJUKUMU YAKE
  3. MUDA WA KUWA MADARAKANI
  4. KUKOMA KUWA MADARAKANI

SURA YA 6.                FEDHA NA MALI ZA SHIRIKA

 • VYANZO MAPATO YA SHIRIKA
 • AKAUNTI ZA BENKI
 • KUTOA PESA BENKI
 • UKAGUZI WA MAHESABU
 • TATHMINI YA MIRADI YA SHIRIKA

SURA YA 7.                KUTUNZA KUMBUKUMBU ZA SHIRIKA

 • KUTUNZA KUMBUKUMBU
 • KUTOA RIPOTI
 • MIONGOZO NA SERA ZA SHIRIKA

SURA YA 8.                UHUSIANO WA SHIRIKA NA MASHIRIKA MENGINE

SURA YA 9.                TAFSIRI YA KATIBA

SURA YA 10.                UTATUZI WA MIGOGORO

 • UTANGULIZI
 • MIGOGORO YA NDANI YA SHIRIKA
 • MIGOGORO NJE YA SHIRIKA

SURA YA 11.                KUBORESHA KATIBA

 • KUREKEBISHA KATIBA
 • MABADILIKO YA KATIBA

SURA YA 12.                KUVUNJIKA KWA SHIRIKA

SURA YA 13.                VIAMBATANISHO

 • MAJINA YA WAANZILISHI
 • WASIFU WA VIONGOZI WAKUU WA SHIRIKA
 • ORODHA YA WADHAMINI, WALEZI, WAFADHILI WA SHIRIKA
 • NAKALA YA TAARIFA ZOZOTE MUHIMU ZIWEKWE HAPA