Zifuatazo ni gharama za kusajili kampuni yenye hisa kati ya elfu ishirini (20,000) hadi milioni moja (1,000,000) BRELA zikijumuisha gharama za BRELA, kutengeneza MemArt, Sahihi ya mwanasheria, na ufuatiliaji BRELA mpaka ikamilike. Bei inaweza kupungua kama mteja atamtumia mwanasheria wake au ana MemArt yake iliyosainiwa na mwanasheria anayetambulika kisheria.
Fee Details | Amount |
BRELA Fees | |
BRELA Registration fee 1. Limited Company by Share a. 20k-1m – TZS.95,000 b. 1-5 m– TZS.175,000 c. 5-20m– TZS.260,000 d. 20-50m– TZS.290,000 e. >50m – – TZS.440,000 2. Limited Company by Guarantee =TZS. 300,000 | 95,000.00 |
1. Filling of 1 MemArt and Form 14a and 14b = 66,000/= stamps for 3 copies of MemArts and declaration form 14a Fees = 6,200/= | 72,200.00 |
Total | 167,200.00 |
Consultant Fees | |
2. One copy of MemArts Development (Optionally 20,000 per additional copy) | 100,000.00 |
3. Notary Public Stamps for 1 MemArts | 150,000.00 |
4. Consultation Fee will be TZS. 200,000 + a. 20k-1m – TZS.100,000 b. 1-5 m– TZS.200,000 c. 5-20m– TZS.250,000 d. 20-50m– TZS.300,000 e. >50m – – TZS.500,000 f. Nonprofit = 150,000.00 | 300,000.00 |
5. Follow-up and emergency | 200,000.00 |
Total | 750,000.00 |
Grand Total: | 917,200.00 |
Gharama za usajili wa kampuni BRELA kwa ufupi ni
- Gharama za usajili wa kampuni ndogo ya chini hisa za Shs milioni ni Shs. 917,200.00
- Gharama za usajili wa kampuni ya kati hisa za Shs milioni 1 hadi milioni 5 ni Shs. 1,097,200
- Gharama za usajili wa kampuni ya kati hisa za Shs milioni 5 hadi milioni 20 ni Shs. 1,232,200.00
- Gharama za usajili wa kampuni ya kati hisa za Shs milioni 20 hadi milioni 50 ni Shs. 1,312,200.00
- Gharama za usajili wa kampuni ya kati hisa za zaidi ya Shs milioni 50 ni Shs. 1,662,200.00
- Gharama za usajili wa kampuni isiyo na hisa ni Shs. 1,172,200.00
Taarifa:
Tunaweza kutoa huduma hii kwa gharama kidogo, huduma yenyewe yaweza kuwa ni ushauri, mafunzo au kufanya kazi husika. Tunatoa pia huduma ya masafa kupitia chat, email, mitandao ya kijamii nk
We offer services at substantial low cost. The service are consultation, training and doing personally the actual work. We also offer services remotely through chat, email, social media interfaces etc
English Form | Fomu ya Kiswahili |
[…] Gharama za usajili wa kampuni ndogo ya chini hisa za Shs milioni ni Shs. 917,200.00 […]
[…] Gharama za usajili wa kampuni ndogo ya chini hisa za Shs milioni ni Shs. 917,200.00 […]
[…] Gharama za usajili wa kampuni ndogo ya chini hisa za Shs milioni ni Shs. 917,200.00 […]
[…] Gharama za usajili wa kampuni ndogo ya chini hisa za Shs milioni ni Shs. 917,200.00 […]