Kuna aina kuu nne zilizo rasmi za staili za uongozi kama ifuatavyo:
- Autocratic/Authoritative Leadership Style- uongozi wa kutoa amri na unafaa sana kwenye uongozi wa kimila na kidini
- Dictatorship Leadership Style – uongozi wa kuamua kwa niaba ya watu katika maeneo muhimu ya maisha – demokrasia iko kwa mbali. Inafaa jamii ambazo hazikusoma na hazijui wajibu wao ikiwa ni pamoja na wajibu wao wa kiraia na kikatiba
- Democratic Leadership Style – huu ni uongozi ambao maeneo muhimu ya maisha watu hujiamulia wenyewe. Kuna elements za udikteta kwa mbali. Inafaa sana jamiii zilizosoma na zinazojua wajibu wao ikiwa ni pamoja na wajibu wa kiraia na kikatiba
- Laissez-Faire Leadership Style ni uongozi ambao watu wanajifanyia mambo yao bila kuingiliwa na serikali. Ama serikali hushughulika na mambo machache sana – Inafaa kwenye jamii zenye upeo mkubwa kielimu na kwenye masuala ya kisheria. AIdha inafaa kwa jamii zenye hali ya juu ya kuwajibika kwa kufuata sheria bila shuruti
Mwisho (End):
Kama umependa makala hii weka maoni yako ya shukrani hapo chini au washirikishe marafiki zako wa kwenye Facebook, Instagram, Linkedin, Whatsapp, Twitter na kwenye email au mitandao mingine ya kijamii. Wasiliana nasi kama unataka kuweka kwenye blogu au website yako kwa maelekezo zaidi
If you found this article helpful please leave the comment below or share to your friends in Facebook, Instagram, Linkedin, Whatsapp, Twitter and in email or other social media. Contact us if you plan to list in your blog or website for further instructions.
Tutembelee kwenye mitandao ya kijamii hapa chini:
We offer but not limited to the following:
Business Office Documents Development, Company Registration, Business Plan Development, Curricula Development for colleges, Office Digitization Consultancy, Online Presence and Marketing Consultancy, Leadership and Management Consultancy, Constitution Development and much more
English Form |
Fomu ya Kiswahili |