Register

thirteen − 12 =

A password will be e-mailed to you.
Kama umeanzisha au mmeanzisha kikundi au kikoba ambacho mnataka kurasimisha au kusajili, taratibu zifuatazo zitasaidia kuanza na kuendelea na mchakato mpaka umalize usajili au urasimishaji.
Mambo yafuatayo ni lazima ziwepo
  1. Wanachama wasiopungua 20 wawepo
  2. Katiba ya Kikundi au kikoba
  3. Dondoo za kikao cha wanachama kilicho keti kujadili na kuamua kusajili kikundi
  4. Barua ya maombi ya kurasimisha au kusajili kikundi itumwe kwa mkurugenzi wa halmashauri kikundi kilipo nakala (kk) ya barua ya maombi ziende kwa
  • Mkurugenzi wa halmashauri -Mpokeaji mkuu wa barua
  • Mwenyekiti wa mtaa – mpokeaji wa nakala ya barua
  • Afisa mtendaji wa kata – mpokeaji wa nakala ya barua
  • Afisa wa maendeleo wa kata – mpokeaji wa nakala ya barua

Mwisho (End):

Kama umependa makala hii weka maoni yako ya shukrani hapo chini au washirikishe marafiki zako wa kwenye Facebook, Instagram, Linkedin, Whatsapp, Twitter na kwenye email au mitandao mingine ya kijamii. Wasiliana nasi kama unataka kuweka kwenye blogu au website yako kwa maelekezo zaidi

If you found this article helpful please leave the comment below or share to your friends in Facebook, Instagram, Linkedin, Whatsapp, Twitter and in email or other social media. Contact us if you plan to list in your blog or website for further instructions.

__________________________________________________
We offer but not limited to the following:
Business Office Documents Development, Company Registration, Business Plan Development, Curricula Development for colleges, Office Digitization Consultancy, Online Presence and Marketing Consultancy, Leadership and Management Consultancy, Constitution Development  and much more

English Form

Fomu ya Kiswahili


Leave a Reply

city, country
mji, nchi