Register
A password will be e-mailed to you.

Miradi ya Kijamii

Mafunzo kwenye Miradi ya Kijamii kwa taasisi na wawezeshaji wote wanaosimamia miradi ya maendeleo ya jamii.
Hii inagusa maneneo ya:
1) Kubuni na Kuanzisha Mradi
2) Kuwezehsaji Viongozi wa Vikundi na CBO/NGO
3) Kusimamia Miradi
4) Kusimamia Fedha na Mali ya Miradi
5) Uwekaji wa Kumbukumbu za Mradi
6) Uandishi wa Ripoti na Nyaraka za Mradi
7) Kutathmini Mradi
8) Ukaguzi wa Mradi
9) Masuala ya Kisheria
10) Masuala Mtambuka

article placeholder

Kitabu cha benki

Kitabu cha benki inaweka kumbukumbu za pesa zote zilizopo benki. Inawezesha kufanya oanisho kwa urahisi kati ya pesa zilizopo benki na zile zilizopo katika vitabuAkaunti ya benki ni muhimu kwani inadhibiti ... Soma zaidi...
article placeholder

Kitabu cha stoo

Kitabu cha stoo lengo lake ni kuweka kumbukumbu ya bidhaa za kuuzwa au malighafi ili zisipotee bure au kuibiwa. Na pia inawezesha kutumika vizuri au kuuzwa kwa utaratibu mzuri bila kujichanganya. Kila bidhaa ir... Soma zaidi...
article placeholder

Kitabu cha mapato

Kwa kweli ukitaka biashara yako ife kwa haraka, fanya bila ya kuwa na kitabu cha mapato. Hata mfanyakazi wako ambaye ni mwaminifuAndika fedha zote zinazoingia katika biashara yako kama mapato, mfano umeuza nyan... Soma zaidi...
article placeholder

Kitabu cha mikopo

Kitabu cha mikopo ni muhimu ili kutunza kumbukumbu zote za mikopo, kama umechukua mkopo kutoka kwa rafiki, ndugu, kijijini, serikalini, taasisi yeyote ya kukopehsa au benki, rekodi hapa chini ili uweze kufuatil... Soma zaidi...
article placeholder

Vitabu vya Fedha

Utunzaji wa Vitabu vya Fedha Utanzaji ni nini?Kuweka vizuri visiibwe, visiharibike, visiharibiwe, vikitakiwa vipatikane kwa haraka nkKama neno linavyosema “vitabu vya fedha” ni moyo wa biashara yako. V... Soma zaidi...
article placeholder

Kitabu cha madeni

Japokuwa hutakiwi kukopesha hovyo hovyo, lakini tafiti zinaonyesha kuwa biashara inayozungusha sana mtaji na faida ni ile inayokopesha kwani wateja hupenda kununua sana kwa mfumo huu wa kukopesha. Rekodi madeni... Soma zaidi...
article placeholder

Uendelevu wa Mradi

 Uendelevu wa MradiNi mikakati ipi umeweka ya kuendeleza mradi huu Mikakati ya kishirika na kitaasisi Mikakati ya kifedha kwaajili ya uendelevu wa mradi Mikakati ya Kijamii na kiutamaduni kulingana ... Soma zaidi...