Register
A password will be e-mailed to you.

Tumaini Development Group

SLP 12908, Arusha


Kumb Na. TM/ME/12901

Kwa wajumbe wote

Yah: Taarifa ya Wito kwa Mkutano wa 5 wa Kikundi cha Tumaini utakaofanyika Arusha Hall Tarehe 12/4/2012 Saa 4 Asubuhi

Napenda kuchukua nafasi hii kuwajulisha kuwa mkutano wa Tumaini Development Group utafanyika Arusha Hall Tarehe 12/4/2012 Saa 4 Asubuhi kama tulivyokubaliana.

Wajumbe watajadili na kuyafanyia maamuzi ajenda zifuatazo
1. Kuthibitisha dondoo za mutano uliopita
2. Kujadili yatokanayo na mkutano uliopita
3. Mkopo wa CRDB
4. Maktaba wa mradi wa maji
5. Mikopo kwa wanachama
6. Mengineyo
Asante kwa kuja kwako na kwa kujali muda

Mawasiliano
Leonard Mussa
0776655443
Barua pepe: [email protected]

[dm]29[/dm]
About The Author

A Busi­ness, IT and Com­mu­nity Related Project Consultant

Related Posts

Leave a Reply