Bajeti ya Mmradi Mzima

Bajeti ya Mmradi Mzima

Bajeti ya mradi mzima

  • Jumla ya gharama za mradi ni kiasi gani
  • Mchanganuo wake kulingana na maelezo yote ya mradi na malengo
  • Mgawanyiko wa gharama hizo ni nini ? Yaani fedha inayo kwenda moja kwa moja kwa walengwa ni kiasi gani na fedha inayobaki katika utawala na malipo ya wafanyakazi ni kiasi gani
  • Fedha nyingine ya miradi tofauti kwa shirika hilohilo ni kiasi gani kwa shughuli zipi
  • Waweza kutoa muhutasari wa fedha hizo kwa US$ au Euros kama italazimu kwa kuangalia kiwango cha wakati huo cha ubadilishaji fedha za kigeni.

Mwisho (End):

Kama umependa makala hii weka maoni yako ya shukrani hapo chini au washirikishe marafiki zako wa kwenye Facebook, Instagram, Linkedin, Whatsapp, Twitter na kwenye email au mitandao mingine ya kijamii. Wasiliana nasi kama unataka kuweka kwenye blogu au website yako kwa maelekezo zaidi

If you found this article helpful please leave the comment below or share to your friends in Facebook, Instagram, Linkedin, Whatsapp, Twitter and in email or other social media. Contact us if you plan to list in your blog or website for further instructions.

Tutembelee kwenye mitandao ya kijamii hapa chini:

We offer but not limited to the following:
Business Office Documents Development, Company Registration, Business Plan Development, Curricula Development for colleges, Office Digitization Consultancy, Online Presence and Marketing Consultancy, Leadership and Management Consultancy, Constitution Development  and much more

English Form

Fomu ya Kiswahili


city, country
mji, nchi