2. Stadi za Maisha (Stadi za maisha sio elimu ya nadharia kwa uhalisia wake bali ni elimu kwa vitendo ambayo mtoto au watoto na vijana wanapewa ili waweze kyatambua, kuendeleza na kijipatia kipato kutokana na vipaji na ujuzi waliyonayo na hivyo kuweza kuyamudu maisha yao kwa ngazi yao katika mazingira wanamoishi. Stadi za maisha ni kazi ambazo hutatua matatizo yanayomzunguka mhusika na yasiyohitaji elimu kubwa ya nje na mazingira yake motto au kijana. Hatua muhimu katika stadi za maisha ni kutambua kipaji au ujuzu, kuendeleza na kutumia kipaji au ujuzi katika kujiingizia kipato)
Statdi za maisha inagusa maeneo haya:
1) Kazi za nyumbani
2) Biashara kwa watoto
3) Kazi za ofisini
4) Uongozi na Utawala