Mpangilio wa kuandika andiko la mradi [Format = Framework for Proposal writing]

  1. Wasifu na maelezo ya awali ya mradi
  2. Maelezo ya kihistoria ya mradi
  3. Taarifa za chanzo cha mradi na sababu muhimu za kuanzishwa kwake
  4. Malengo, Madhumini, viashiria na shughuli na majukumu yote kwa mpangilio juu ya mradi
  5. Usimamizi wa mradi
  6. Uchambuzi wa wadau wa mradi
  7. Masuala mtambuka katika jamii ya walengwa wa mradi
  8. Ufuatiliaji na Tathimini ya mradi
  9. Mpango wa Uendelevu wa Mradi kifedha na kitaasisi
  10. Bajeti ya mradi mzima ikionyesha michango ya wadau

NB: Jambo la Kuzingatia: Mpangilio huu sio sheria kwa kuwa kila mfadhili anaweza kuhitaji andiko la mradi kwa mpangilio wake wowote anao uhitaji. Tena mhisani anaweza kupunguza baadhi ya vipengele ama kuongeza zaidi kwa lengo zuri tu.