Register

A password will be e-mailed to you.

Wasifu na maelezo ya awali ya mradi Wasifu na maelezo ya awali ya mradi ni maelezo ambazo zitauelezea mradi kwa ufupi kabla maelezo ya kina hayajatolewa.

  1. Jina la Mradi
  2. Muda wa mradi
  3. Mahali mradi utapofanyika
  4. Idadi ya walengwa
  5. Bajeti ya Mradi
  6. Anwani ya wakuu wa mradi
  7. Jina na namba ya simu ya mtendaji mkuu wa mradi
  8. Wahisani wa mradi na anwani yao
  9. Shirika na anwani yake linalotunza mradi huo
  10. Mengine yanayohusu wasifu wa mradi

About The Author

A Busi­ness, IT and Com­mu­nity Related Project Consultant

Leave a Reply

%d bloggers like this: