Register

twenty − 9 =

A password will be e-mailed to you.

Ninafanya na kufundisha namna rahisi ya kuandika mchanganuo wa biashara kuanzia zile za biashara ndogondogo  mpaka biashara kubwa.

Taarifa muhimu za kuambatanisha ni

  1. Makisio ya Mauzo ya Mwaka – Turnover
  2. Makisio ya mtaji wa kuanzia – Startup capital- Hii ni gharama ya kufanyia matumizi/manunuzi ya kabla ya bishara kuanza kufanya kazi. Mfano, kusajili biashara/kampuni, gharama za kuandika mpango wa biashara, stationary na uchapaji, usafiri nk
  3. Idadi ya bidhaa au huduma utakazouza kupata mapato – Number of products or services
  4. Namba ya miaka ya Mchanganuo wa Biashara (miaka 3 au miaka 5 nk) – Business Plan Duration in years (3 years or 5 years etc)

Gharama/bei za kuandika Mchanganuo wa biashara inaweza sasa kukokotolewa na kikokotozi ambatanishwa:

[wpdm_package id=’4287′]

NB:

  • Biashara ndogondogo ni zile zenye mtaji wa TZS 0 mpaka Mil 5
  • Biashara ndogo ni zile zenye mtaji wa TZS mil 10 mpaka Mil 50
  • Biashara za kati ni zile zenye mtaji wa TZS mil 50 mpaka Mil 500
  • Biashara kubwa ni zile zenye mtaji wa TZS mil 500 kuendelea

Taarifa zote za kisekta na fedha zinatolewa na mteja

English Form

Fomu ya Kiswahili


About The Author

Lemburis Kivuyo is a Busi­ness, IT and Com­mu­nity Related Project Consultant. Specialized in Business Establishment, Leadership training, Online Marketing, Small groups and teams leadership and management, Curriculum Development, Constitution development and much more.

Related Posts

Leave a Reply

Your email address will not be published.

13 − 11 =

PO Box 1999, city, country
SLP 1999, mji, nchi