Register

thirteen − three =

A password will be e-mailed to you.

Uandishi wa CV unategemea sana secta husika, CV za wahandisi ni tofauti na za wanasheria au waalimu nk.

Lakini CV zote zinafuata mlolongo huu hapa chini

 1. Kichwa cha habari -mfano CV au Resume
 2. Taarifa za mawasiliano -mfano simu ya kiganjani na barua pepe yaani email
 3. Taarifa binafsi – mfano jina, jinsia, umri, unakoishi, nk. Usiweke taarifa binafsi zitakazochochea ubaguzi kama dini yako, picha yako nk
 4. Muhtasari wa taaluma yako (Career summary)
 5. Mafanikio ya kitaaluma (Career achievements) <=10 years
 6. Uzoefu wa kazi – (Job experience) <=10 years
 7. Mafunzo ya kujengwa uwezo – Capacity Building Attended
 8. Mafunzo ya kujenga uwezo – Capacity Building Conducted
 9. Historia ya elimu -Education Background
 10. Uwezo mwingine – Other potentials
 11. Mashahidi – References

English Form

Fomu ya Kiswahili


About The Author

Lemburis Kivuyo is a Busi­ness, IT and Com­mu­nity Related Project Consultant. Specialized in Business Establishment, Leadership training, Online Marketing, Small groups and teams leadership and management, Curriculum Development, Constitution development and much more.

Related Posts

PO Box 1999, city, country
SLP 1999, mji, nchi