Register
A password will be e-mailed to you.

Mafunzo ya Huduma kwa Wateja kwa Wadau wa Utalii TanzaniaMafunzo ya Huduma kwa Wateja kwa Wadau wa Utalii Tanzania  iliyoratibiwa na Chama cha Watoa Huduma ya Utalii Tanzania TATO (Tanzania Association of Tour Operator) na kufaziliwa na benki ya CRDB yafanyika kwa mafanikio makubwa Arusha.

Mafunzo hayo yaliyofanyika katika hoteli ya SnowCrest inayotoa huduma yake pembeni kidogo mwa mji wa Arusha imejumuisha wadau zaidi ya 300 kutoka katika secta ya Utalii Tanzania ambao ni wafanyakazi wa TANAPA, Tanzania, Wafanyakazi (madereva na waongozaji wa wageni) wa makampuni binafsi zinazotoa huduma ya utalii Tanzania.

Mafunzo hayo yalilenga zaidi yafuatayo:

  1. Huduma nzuri kwa wateja na mbinu za kutatua malalamiko
  2. Tabia na motisha ya Ujasiriamali
  3. Utamaduni wa Utalii na Saikolojia ya Mteja

 
About The Author

A Busi­ness, IT and Com­mu­nity Related Project Consultant

Leave a Reply