Register
A password will be e-mailed to you.

Utangulizi Kuhusu MEMART

Namna Rahisi ya Kuandika MEMART – Memorandum and Article of Association

Zifuatazo ni hatua na mambo muhimu ya kuyazingatia unapotaka kundika Memart

MEMART ina sehemu kuu mbili

  1. Memorandum of Association
  2. Articles of Association

Memorandum of Association

Hii nis ehemu ya kwanza kabisa ya MEMART ambayo ina sehemu kuu nne:

  1. Jina la kampuni
  2. Ofisi ya kampuni
  3. Madhumuni ya kuanzisha kampuni
  4. Majina, anuani, idadi ya hisa na sahihi za wanahisa
  5. Sahihi ya mwanasheria na muhuri wake kama shahidi

Articles of Association

Hii ni sehemu kuu ya pili ya MEMART ambayo kwa ukweli inatafsiri tu sheria ya Makampuni ya Mwaka 2002 na maboresho yake kama ilivyotolewa kwa miaka tofauti. Inashauriwa kumtumia mwanasheria aliyebobea kwenye haya mambo ya kisheria kwa upande wa makampuni ili akusaidie vizuri namna ya kuiweka sehemu hii

Pamoja na mambo mengi ya kisheria sehemu hii pia inatoa fursa ya kuorodhesha wakurugenzi wa kwanza wa kampuni, majina, anuani, idadi ya hisa na sahihi za wanahisa pamoja na sahihi ya mwanasheria na muhuri wake kama shahidi

Ninafundisha namna ya kuandaa na kuandika kwa urahisi Memart (Memorundum and Article of Association) kwa makampuni na mashirika ya uma.  Kwa huduma za kusajili Kampuni tuandikie kwa kutumia fomu hapa chini:

 

About The Author

A Busi­ness, IT and Com­mu­nity Related Project Consultant

One Response

Leave a Reply

%d bloggers like this: