Register

13 + twenty =

A password will be e-mailed to you.

Kitabu cha stoo lengo lake ni kuweka kumbukumbu ya bidhaa za kuuzwa au malighafi ili zisipotee bure au kuibiwa. Na pia inawezesha kutumika vizuri au kuuzwa kwa utaratibu mzuri bila kujichanganya. Kila bidhaa irekodiwe peke yake katika kiabu cha stoo. Hii ina maana kuwa kama mjasiriamali ana bidhaa tano, basi anashauriwa kuwa na vitabu vitano vya stoo tofauti. Ikumbukwe kuwa bidhaa ni zile tu ambazo mjasiriamali amevinunua ili aviuze (kama vile sabuni ya kuuza dukani) au amezalisha ili aviuze (kama vile mahindi ya kuvuna, nyanya nk.) au ni malighafi (kama vile mbolea, mbegu, nk.)

Jina la stoo/biashara………………… Jina la mtunza stoo …………………………

Tarehe

Maelezo ya bidhaa

Idadi

Baki

iliyoingiailiyotoka

English Form

Fomu ya Kiswahili


About The Author

Lemburis Kivuyo is a Busi­ness, IT and Com­mu­nity Related Project Consultant. Specialized in Business Establishment, Leadership training, Online Marketing, Small groups and teams leadership and management, Curriculum Development, Constitution development and much more.

Related Posts

Leave a Reply

Your email address will not be published.

20 − five =

PO Box 1999, city, country
SLP 1999, mji, nchi