Register

four × 4 =

A password will be e-mailed to you.

Zifuatazo ni gharama za kusajili kampuni yenye hisa kati ya milioni tano (5,000,000) hadi milioni ishirini (20,000,000) BRELA zikijumuisha gharama za BRELA, kutengeneza MemArt, Sahihi ya mwanasheria, na ufuatiliaji BRELA mpaka ikamilike. Bei inaweza kupungua kama mteja atamtumia mwanasheria wake au ana MemArt yake iliyosainiwa na mwanasheria anayetambulika kisheria.

Fee Details Amount
BRELA Fees
BRELA Registration fee

1.    Limited Company by Share

a.    20k-1m – TZS.95,000

b.    1-5 m– TZS.175,000

c.    5-20m– TZS.260,000

d.    20-50m– TZS.290,000

e.    >50m – – TZS.440,000

2.    Limited Company by Guarantee =TZS. 300,000

260,000.00
1.    Filling of 1 MemArt and Form 14a and 14b = 66,000/= stamps for 3 copies of MemArts and declaration form 14a Fees = 6,200/=     72,200.00
Total 332,200.00
Consultant Fees
2.    One copy of MemArts Development (Optionally 20,000 per additional copy)   100,000.00
3.    Notary Public Stamps for 1 MemArts 150,000.00
1.    Consultation Fee will be TZS. 200,000 +

a.    20k-1m – TZS.100,000

b.    1-5 m– TZS.200,000

c.    5-20m– TZS.250,000

d.    20-50m– TZS.300,000

e.    >50m – – TZS.500,000

f.     Nonprofit = 150,000.00

   450,000.00
2.    Follow-up and emergency    200,000.00
Total 900,000.00
Grand Total: 1,232,200.00

Gharama za usajili wa kampuni BRELA kwa ufupi ni

Taratibu za usajili zimeelezwa kwenye link hii

Taarifa:

Tunaweza kutoa huduma hii kwa gharama kidogo, huduma yenyewe yaweza kuwa ni ushauri, mafunzo au kufanya kazi husika. Tunatoa pia huduma ya masafa kupitia chat, email, mitandao ya kijamii nk

We offer services at substantial low cost. The service are consultation, training and doing personally the actual work. We also offer services remotely through chat, email, social media interfaces etc

__________________________________________________
We offer but not limited to the following:
Business Office Documents Development, Company Registration, Business Plan Development, Curricula Development for colleges, Office Digitization Consultancy, Online Presence and Marketing Consultancy, Leadership and Management Consultancy, Constitution Development  and much more

English Form

Fomu ya Kiswahili


4 Responses

Leave a Reply

city, country
mji, nchi