Japokuwa hutakiwi kukopesha hovyo hovyo, lakini tafiti zinaonyesha kuwa biashara inayozungusha sana mtaji na faida ni ile inayokopesha kwani wateja hupenda kununua sana kwa mfumo huu wa kukopesha. Rekodi madeni yote unayodai ili uweze kufuatilkia madeni yote na kwamba yamelipwa.
Jina la biashara…………………………………….……………… Mwaka wa fedha ……………………….
Tarehe |
Maelezo ya deni |
Jina la Mdaiwa |
Tarehe ya kurudisha |
Kiasi cha deni |
Mwisho (End):
Kama umependa makala hii weka maoni yako ya shukrani hapo chini au washirikishe marafiki zako wa kwenye Facebook, Instagram, Linkedin, Whatsapp, Twitter na kwenye email au mitandao mingine ya kijamii. Wasiliana nasi kama unataka kuweka kwenye blogu au website yako kwa maelekezo zaidi
If you found this article helpful please leave the comment below or share to your friends in Facebook, Instagram, Linkedin, Whatsapp, Twitter and in email or other social media. Contact us if you plan to list in your blog or website for further instructions.
Tutembelee kwenye mitandao ya kijamii hapa chini:
English Form |
Fomu ya Kiswahili |