Register
A password will be e-mailed to you.

Lemburis Kivuyo Mshauri wa Biashara na TEHAMALemburis Kivuyo amekuwa akitoa ushauri wa biashara na ujasiriamali tangu mwaka 2005, kutengeneza mipango ya biashara ni sehemu ya kazi yake anazozifanya nchini Tanzania.

Kama wewe una biashara au unatarajia kuwa na biashara yako mwenyewe au unawakilisha kampuni ya biashara utahitaji mpango wa biashara kwa sababu zifuatazo.

 1. Mpango wa biashara utakuongoza wewe jinsi ya kukabiliana na biashara yako kwa miaka 3, 5 au 10 ijayo
 2. Mpango wa biashara ni muhimu kama unatarajia kushawishi kupata fedha kutoka kwa wawekezaji
 3. Mpango wa biashara ni muhimu kwako kama wewe kutarajia kuomba mkopo kutoka benki au taasisi za fedha

 

 

Nikikutengenezea Mpango wa Biashara utapata taarifa zifuatazo:

 1. Wazo la biashara
 2. Wasifu wa kampuni
 3. Taarifa ya bidhaa/Huduma
 4. Taarifa za soko na washindani wako
 5. Utawala na wafanyakazi
 6. Ratiba ya utekelezaji kwa miaka 3 -5
 7. Mkakati wa utekelezaji
 8. Makadirio ya fedha (Fedha za matumizi ya awali (Start-up funding, fedha za uwekezaji wa rasilimali (Investment funding), fedha za malipo ya mishahara (Personnel salaries), makadirio ya mauzo (sales forecast), makadirio ya matumizi (Expenditure forecast), Taarifa ya faida au hasara (profit and loss forecast), Mzunguko wa fedha (Cashflow), Taarifa ya uwiano wa mali za biashara (Balance sheet), Makadirio ya mauzo kwa mwezi na mwaka yanayowezesha kupata faida, (Breakeven analysis), Uwiano wa sehemu za biashara yako (Business ratios)
 9. Mwishoni (taarifa zingine muhimu kama viambatanisho vya leseni, mikataba, wasifu, risiti, Taarifa nk)

Tafadhali nitumie ujumbe kupata makadirio ya gharama kutoka kwangu

About The Author

A Busi­ness, IT and Com­mu­nity Related Project Consultant

One Response

 1. yafidh

  Habari nataka makadirio ya andiko la mpango wa biashara. Nataka mpango wa kilimo

  Reply

Leave a Reply

%d bloggers like this: