Utangulizi
Ifuatayo hapa chini ni mwongozo wa Jinsi ya kuandika katiba ya Kanisa au Taasisi za Kikristo.
Mambo muhimu katika kuandika katiba yameorodheshwa hapa chini.
Sehemu muhimu za katiba
A: KASHA LA NJE
- Jina la katiba
- Nembo ya Kanisa au Taasisi
- Maelezo/anuani ya Mwandishi
B: NDANI YA KATIBA
- Dibaji
- Shukrani
SURA YA 1. TAFSIRI YA MANENO
SURA YA 2. TAARIFA ZA KANISA
2.1 JINA LA KANISA
2.2 MAKAO MAKUU
2.3 MATAWI YA KANISA
2.4 LUGHA
2.5 OFISI KUU RASMI
2.6 NEMBO YA KANISA
2.7 MUHURI WA KANISA
SURA YA 3. MAONO, UTUME, IMANI NA MALENGO
3.1 MAONO
3.2 UTUME 3
3.3 IMANI YETU
3.4 MALENGO NA MADHUMUNI
SURA YA 4. UANACHAMA
4.1 SIFA ZA KUWA MWANACHAMA
4.2 HAKI ZA KUWA MWANACHAMA
4.3 WAJIBU WA WANACHAMA
4.4 KUACHA UANACHAMA
SURA YA 5. MUUNDO WA KANISA
5.1 MCHORO WA MUUNDO
5.2 MUUNDO WA KANDA ZA KANISA:
(i) MKUTANO MKUU WA KANISA
(ii) BODI YA WADHAMINI
(iii) OFISI YA ASKOFU / ASKOFU MKUU
(iv) HALMASHAURI KUU YA KANISA
(v) SEKRETARIETI YA KANISA
(vi) IDARA ZA KANISA, MAKANISA YA KANDA, MAJIMBO NA PARISH
5.3 UTEKELEZAJI WA MUUNDO WA KANISA
5.4 TAASISI ZA KANISA NA WAJIBU WAKE
(i) MKUTANO MKUU WA KANISA
(ii) BODI YA WADHAMINI YA KANISA
(iii) OFISI YA ASKOFU MKUU
(iv) BARAZA KUU LA WACHUNGAJI
(v) HALMASHAURI KUU YA KANISA
(vi) SEKRETARIETI YA KANISA
(vii) IDARA ZA KANISA, KANDA, MAJIMBO, PARISH NA KANISA LA MAHALI
(viii) OFISI ZA KANDA
(ix) OFISI ZA MAJIMBO
(x) OFISI ZA PARISH
(xi) KANISA LA MAHALI
SURA YA 6. KUHUSU WACHUNGAJI WA KANISA
6.1 SIFA ZA MSINGI ZA MCHUNGAJI
6.2 KUACHA UCHUNGAJI WA KANISA:
6.3 NIDHAMU YA MCHUNGAJI
6.4 ADHABU
6.5 KUMPOKEA MTUMISHI KUTOKA DHEHEBU LINGINE
6.6 KUSTAAFU KWA MCHUNGAJI
SURA YA 7. WAJIBU WA VIONGOZI
7.1 ASKOFU MKUU
7.2 MSAIDIZI WA ASKOFU MKUU
7.3 KATIBU MKUU:
7.4 MTUNZA HAZINA
SURA YA 8. FEDHA ZA KANISA LA KANISA
8.1 VYANZO MAPATO YA KANISA
8.2 POSHO YA WATUMISHI
8.3 AKAUNTI ZA BENKI
(i) AKAUNTI ZA BENKI
(ii) KUTOA PESA BENKI
(iii) SERA YA UTAWALA NA FEDHA ZA KANISA
SURA YA 9. KUTUNZA KUMBUKUMBU ZA KANISA
9.1 KUTUNZA KUMBUKUMBU
9.2 KUTOA RIPOTI
9.3 MIONGOZO NA SERA ZA KANISA
SURA YA 10. UHUSIANO WA KANISA NA MAKANISA MENGINE
SURA YA 11. TAFSIRI YA KATIBA
SURA YA 12. UTATUZI WA MIGOGORO
12.1 UTANGULIZI
12.2 MIGOGORO YA NDANI YA KANISA
12.3 MIGOGORO NJE YA KANISA
SURA YA 13. KUBORESHA KATIBA
13.1 KUREKEBISHA KATIBA
13.2 MABADILIKO YA KATIBA
SURA YA 14. UKOMO WA KANISA
SURA YA 15. VIAMBATANISHO
KIAMBATANISHO CHA 1: MAWASILIANO
KIAMBATANISHO CHA 2: ORODHA YA VIONGOZI WAANZILISHI WA KANISA NA SAINI ZAO
KIAMBATANISHO CHA 3: MUHTASARI WA KIKAO KILICHOKETI KUANZISHA KANISA
Mwisho (End):
Kama umependa makala hii weka maoni yako ya shukrani hapo chini au washirikishe marafiki zako wa kwenye Facebook, Instagram, Linkedin, Whatsapp, Twitter na kwenye email au mitandao mingine ya kijamii. Wasiliana nasi kama unataka kuweka kwenye blogu au website yako kwa maelekezo zaidi
If you found this article helpful please leave the comment below or share to your friends in Facebook, Instagram, Linkedin, Whatsapp, Twitter and in email or other social media. Contact us if you plan to list in your blog or website for further instructions.
Tutembelee kwenye mitandao ya kijamii hapa chini:
English Form |
Fomu ya Kiswahili |