Mafunzo na Elimu ya Ujasiriamali na Biashara
Pata mafunzo, elimu na huduma za biashara, ujasiriamali na TEHAMA (Technolojia ya Habari na Mawasiliano) kutoka kwa mshauri Lemburis Kivuyo. Ninatoa mafunzo katika vikundi na viongozi wa vikundi na CBO kwenye masuala ya uongozi, utawala bora na masuala yanayohusiana na uanzishwaji wa miradi na biashara. Pia ninatoa mafunzo na huduma ya uandishi wa ripoti, mchanganuo wa biashara (business plan), andiko la mradi (project proposal), memarts, sera za ofisi kama za fedha na wafanyakazi (financial and administration regulations, Human Resource Policy, Staff contracts), mtaala wa vyuo (curricula), write-ups, strategic plan, nk.
"Huwezi kuwa mfanyabiashara mpaka umiliki biashara"
"Huwezi kuwa mjasiriamali mpaka
uwekeze mali zako kwa ujasiri"
REGISTRATION FEES FOR COMPANY OF CAPITAL SHARE FROM TZS. 1M to TZS. 5M Fee Details Amount BRELA Fees BRELA Registration...
REGISTRATION FEES FOR COMPANY OF CAPITAL SHARE FROM TZS. 20K to TZS. 1M Fee Details Amount BRELA Fees BRELA Registration...
Company registration in Tanzania has been simplified due to the introduction of an online registration system. THe ORS as it...
Usajili wa Jina la Biashara Maelezo Kiasi Gharama za BRELA 20,000.00 Gharama za Ushauri 30,000.00 Ufuatiliaji na dharura...
A company director is appointed and put in the office by laws govern Companies in Tanzania (The Companies Act, 2002,...
Doing business in Tanzania is governed and regulated by several laws and procedures and some and important one is licensing...
Hii ni aina ya mkate ambao unakaa kama mfuko na unaweza kujaza na matunda, mbogamboga au wakati mwingine nyama. Mkate...
Tambi ni chakula kinachotengenezwa kutoka kwa kinyunga cha unga na maji kuwa kama milia membamba inayopikwa katika maji au supu....
Jinsi ya Kubuni Biashara na jinsi ya Kubuni Miradi ni kitu kimoja kwa maelezo haya chini Tafsiri Biashara: ni mradi...
Tathmini ya mradi au Project evaluation ni zoezi la kuchanganua miradi inayoendelea au zile zilizokwisha muda wake kwa lengo la...
Ukaguzi ni utaratibu wa kuyapitia mahesabu ya taasisi ili kuona kuwa pesa zimetumika sawasawa na makusudio yake. Ili kuona kama...
Yafuatayo ni maelezo ambayo inaweza kusaidia maofisa au watu wanaohusika na kutengeneza sera za taasisi mbalimbali. Unachotakiwa kujua kwanza ni...