Mafunzo na Elimu ya Ujasiriamali na Biashara
Pata mafunzo, elimu na huduma za biashara, ujasiriamali na TEHAMA (Technolojia ya Habari na Mawasiliano) kutoka kwa mshauri Lemburis Kivuyo. Ninatoa mafunzo katika vikundi na viongozi wa vikundi na CBO kwenye masuala ya uongozi, utawala bora na masuala yanayohusiana na uanzishwaji wa miradi na biashara. Pia ninatoa mafunzo na huduma ya uandishi wa ripoti, mchanganuo wa biashara (business plan), andiko la mradi (project proposal), memarts, sera za ofisi kama za fedha na wafanyakazi (financial and administration regulations, Human Resource Policy, Staff contracts), mtaala wa vyuo (curricula), write-ups, strategic plan, nk.
"Huwezi kuwa mfanyabiashara mpaka umiliki biashara"
"Huwezi kuwa mjasiriamali mpaka
uwekeze mali zako kwa ujasiri"
Ninafundisha, nashauri na kutoa huduma ya kutengeneza taasisi za kusimamia miradi ya kijamii Facebook0Twitter0Google+Pinterest0Linkedin0Print0E-mail0Whatsapp0GMail0Baidu0Total0 Thanks for SharingPlease accept my deepestĀ thanks...
Kuna namna nyingi za kukaanga kuku ila leo ntakuonyesha jinsi ya kukaanga kuku kwa njia ya kisasa zaidi. Njia hii...
1) Amua kuwa mjasiriamali na uache kuogopa 2) Weka dira ya unakotaka kufikia 3) Weka malengo ya muda mfupi na...
Nahusika na kuwasaidia watu kusajili majina ya kampuni au biashara BRELA kupitia website ya ors.brela.go.tz. Nimeandika maelekezo ya bure kabisa...
Saladi ni mchanganyiko wa matunda mbalimbali au mbogamboga zinazoliwa bila kupika. Pia huitwa kachumbari ya matunda au mboga mboga. Kuna...
Baada ya kumalizia usajili wako wa kampuni au jina la biashara kwenye website ya BRELA utataka sasa kufanya malipo ya...
COLLEGE NAME & CONTACTS ā¦ā¦ā¦ā¦ā¦ā¦ā¦ā¦ā¦ā¦ā¦ā¦ā¦ā¦ā¦ā¦ā¦ā¦ā¦ā¦ā¦ā¦ā¦ā¦ā¦. Year/Level On Campus Off Campus Student Details Clearance Reasons Name of the Studentā¦ā¦ā¦ā¦ā¦ā¦ā¦ā¦ā¦ā¦ā¦ā¦ā¦ā¦ā¦ā¦ā¦ Transfer Ā ...
Introduction From February 1, 2018Ā #BRELA announced the establishment of its system for facilitating the owners of business companies to register...
Introduction From February 1, 2018Ā #BRELA announced the establishment of its system for facilitating the owners of business companies to register...
Aina ya pilau kwenye andiko hili ni PILAU NYAMA na Chakula ni kwajili ya watu watano. Kabla hujaanza kupika chakula hiki andaa viungo vifuatavyo...
Read More
UTANGULIZI Kuanzia tarehe 1 Februari 2018 BRELA ilitangaza kuanza kutumika kwa mfumo wake wa kuwawezesha wamiliki wa makampuni na biashara...
UTANGULIZI Kuanzia tarehe 1 Februari 2018 BRELA ilitangaza kuanza kutumika kwa mfumo wake wa kuwawezesha wamiliki wa makampuni kusajili na...