Mafunzo na Elimu ya Ujasiriamali na Biashara
Pata mafunzo, elimu na huduma za biashara, ujasiriamali na TEHAMA (Technolojia ya Habari na Mawasiliano) kutoka kwa mshauri Lemburis Kivuyo. Ninatoa mafunzo katika vikundi na viongozi wa vikundi na CBO kwenye masuala ya uongozi, utawala bora na masuala yanayohusiana na uanzishwaji wa miradi na biashara. Pia ninatoa mafunzo na huduma ya uandishi wa ripoti, mchanganuo wa biashara (business plan), andiko la mradi (project proposal), memarts, sera za ofisi kama za fedha na wafanyakazi (financial and administration regulations, Human Resource Policy, Staff contracts), mtaala wa vyuo (curricula), write-ups, strategic plan, nk.
"Huwezi kuwa mfanyabiashara mpaka umiliki biashara"
"Huwezi kuwa mjasiriamali mpaka
uwekeze mali zako kwa ujasiri"
Vicoba ni nini? Hivi ni kikundi au vikundi vya watu 20 hadi 30 hivi wanaofahamiana ambao wameamua kuunda kikundi ili...
UTANGULIZI Risala ni taarifa fupi inayosomwa kwa njia ya hotuba mbele ya mgeni rasmi kwa niaba ya kundi fulani la watu ili kutoa...
The following information assist policy maker to have in mind the basic elements needed to create a basic policy. However...
IT and Business Consultation for small and medium enterprises. Learn the low-cost approach on deploying current IT infrastructures within your...
I have briefly described all basic requirements needed to establish a tourism business in Tanzania. There may be other requirements...
The CV for Geotechnician contain the following parts Contacts Career Objective Profile Summary Achievement Key Qualifications and Skills Experience Education...
This is a sample of covering letter for Geotechnician job application. It include Introductory part, how the applicant come across...
Wasifu wa Lemburis Kivuyo ni pamoja na kuwa mshauri wa biashara na TEHAMA katika kubuni biashara, na miradi, kuanzisha na...
The most challenging stage in Business Plan writing is to getting data/information that explain the industry you are in and...
This habit is a powerful tool to effective communication skills which is vital to every leader. Listening to other promote...
“Who has confidence in himself will gain the confidence of others.” Leib Lazarow “Your chances of success in any undertaking...
The five habits prepare us to the synergy level Combine the strengths of people through positive teamwork, so as to...