Register

13 − two =

A password will be e-mailed to you.

1) Amua kuwa mjasiriamali na uache kuogopa
2) Weka dira ya unakotaka kufikia
3) Weka malengo ya muda mfupi na mrefu pamoja na mikakati na mbinu ya kufanikiwa
4) Ondoa woga weka ujasiri na kujiamini
5) Vumilia na ubaki kwenye maono na malengo – usitangetange ili usipoteze dira
6) Badilisha mbinu na mtindo wa kufanya kazi, kufikiri na kuamua ili ufikie malengo yako, Daima tumia njia rahisi yenye gharama nafuu na yenye kuharakisha utendaji wa kazi na matokeo. Anza na malengo madogo ndipo makubwa yaje, anza na malengo marahisi ndipo malengo magumu yaje. Kwa njia hii utapa motivation ya kufanya vizuri zaidi
7) Penda unachokifanya ili upate nguvu ya kuendelea

8) Soma vitabu, sikiliza mafunzo mbalimbali, pata ushauri wa kazi unazozifanya au unazotaka kuzifanya kutoka kwa wataalam, washauri wabobezi wa sekta husika
9) Kazi usizoweza kuzifanya kwa sababu ya muda au ujuzi wape wengine wafanye
10) Tadhmini kazi zako na uboresha kila kitu unachokifanya ili ufanye kisasa, kisayansi na kiteknolojia inavyowezekana
By: Lemburis Kivuyo

Taarifa:

Tunaweza kutoa huduma hii kwa gharama kidogo, huduma yenyewe yaweza kuwa ni ushauri, mafunzo au kufanya kazi husika. Tunatoa pia huduma ya masafa kupitia chat, email, mitandao ya kijamii nk

We offer services at substantial low cost. The service are consultation, training and doing personally the actual work. We also offer services remotely through chat, email, social media interfaces etc

__________________________________________________
We offer but not limited to the following:
Business Office Documents Development, Company Registration, Business Plan Development, Curricula Development for colleges, Office Digitization Consultancy, Online Presence and Marketing Consultancy, Leadership and Management Consultancy, Constitution Development  and much more

English Form

Fomu ya Kiswahili


Leave a Reply

city, country
mji, nchi